Wa pwani waliona hilo,thus kwa wanawake mafiga matatu kwa wanaume wake wanne lengo kubalanceSema kidume kulia kwa sababu ya mapenzi ni umama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa pwani waliona hilo,thus kwa wanawake mafiga matatu kwa wanaume wake wanne lengo kubalanceSema kidume kulia kwa sababu ya mapenzi ni umama
Ukiwa malaya una michepuko yako ya kutosha huwa inasaidia piaWa pwani waliona hilo,thus kwa wanawake mafiga matatu kwa wanaume wake wanne lengo kubalance
Malaya halii mapenziUkiwa malaya una michepuko yako ya kutosha huwa inasaidia pia
Hata siku moja malaya hawezi kulialiaMalaya halii mapenzi
In reality we all are products of inbreeding, in reference to our religious studies that is.Inbreeding
Naumia sana kuona wanawake kumdhalilisa waume zao pindi tu kunapotoke sitofahamu na kuachana. Leo bora tuwafate waarabu life style yao tu japo si wote. Kuoa msichana asietoka mbali na familia naona itapunguza ukakasi na matatizo ya kudhalilishana kuliko unaenda kuoa 10000 miles, ndugu wa mke na mume ata akuna mawasiliano na kujuliana hali. Mazingira humpa msichana kufanya upumbavu wowote bila ata kujiuliza mara mbili. Mawazo yangu tu hayo.
Ogopa sana hii ndoa ya dada na kaka mtazaa mataahhira kama magabacholi na waarabuNtaoa bint wa mpwa wangu,,,,,
Najua most of genes zitakua zmekuwa masked/recessive kwa hyo n ngumu kuja kujiexpress kwenye generation tutayozaa mm na yy.
Hapana ni HohaNi oha
Acheni fikra potofu mzee tembea ushuhudieOgopa sana hii ndoa ya dada na kaka mtazaa mataahhira kama magabacholi na waarabu
Nongea kwa ushahidi. Nenda nchini Kanada au Marekani maeneo wanayoishi wamenonnite wanaoana ndugu kwa ndugu kwenye kile kinachoitwa endogamy utajua hujui unachoongea mwananguAcheni fikra potofu mzee tembea ushuhudie
Mtoto wa mpwa sio dada yangu.Ogopa sana hii ndoa ya dada na kaka mtazaa mataahhira kama magabacholi na waarabu
Unaanza kukimbia hojaMtoto wa mpwa sio dada yangu.
Mimi naongea pia ushahidi njoo Muscat Alsaid Loyer family njoo uwone maisha yalivyo bora muunganiko wa familia ulivyoshamiri furaha na kujuana vizuriNongea kwa ushahidi. Nenda nchini Kanada au Marekani maeneo wanayoishi wamenonnite wanaoana ndugu kwa ndugu kwenye kile kinachoitwa endogamy utajua hujui unachoongea mwanangu
Hujui kinachoendelea ndani ya familia. Nadhani unafikiri kimaskini na kwa uoni mfinyu. Waafrika hatuna mila za mbwambwa za kuoana ndugu kwa ndugu. Ni laana tuMimi naongea pia ushahidi njoo Muscat Alsaid Loyer family njoo uwone maisha yalivyo bora muunganiko wa familia ulivyoshamiri furaha na kujuana vizuri
Izo laana zipo ukishakuwa black tayari laana shida zote zipo Africa. Tatizo mnakalili ukweli ndio upo ivyo matatizo ya ndoa koo pia uchangia zikiwa tofauti muhaya na mchaga kuna ndoa apoHujui kinachoendelea ndani ya familia. Nadhani unafikiri kimaskini na kwa uoni mfinyu. Waafrika hatuna mila za mbwambwa za kuoana ndugu kwa ndugu. Ni laana tu
Ushawahi ona Muha na Mchaga ,Waha awana matatizo kwenye ndoa zao wanashika wenyewe kwa wenyewe kataa ukubaliIzo laana zipo ukishakuwa black tayari laana shida zote zipo Africa. Tatizo mnakalili ukweli ndio upo ivyo matatizo ya ndoa koo pia uchangia zikiwa tofauti muhaya na mchaga kuna ndoa apo
Unaongea kwa kukata tamaa bila kutoa faida. Watu kama wewe waliojikana na kukata tamaa wanaweza kuwazia lolote. Kwani wahaya na wachaga wakioana tatizo ni nini kama wote ni wasomi na wana katabia ka kudumisha mila? Huoni kuwa hii ni droo mechi.Izo laana zipo ukishakuwa black tayari laana shida zote zipo Africa. Tatizo mnakalili ukweli ndio upo ivyo matatizo ya ndoa koo pia uchangia zikiwa tofauti muhaya na mchaga kuna ndoa apo
Dah kama unanisema Mimi baada ya kupata watoto ananichapa stress mpaka nataka nikimbie mjiUsipoishi naye kwa akili, akishapata tu watoto, kiu yake na wewe jua imekwisha, linalofuata ni kukutanguliza muhusika mbele za haki, Ova.