Sahihi?Older mnaokimbiliaa ndoa
Bora uchelewe kuoa ukimwomba Mungu akupe mwenye hofu yake
Mwanamke pekee atakayeishi kwa upendo nidhamu na hekima
Ni yule aliye na hofu na Mungu
Haya makanjanjaaa yamejazana ibdan yanaotea kama betting usijichanganye kizembee utakufaà
Ukishayaoaa yanageuka kuwa mbwa mwitu mpendwa acha tu
TakboiiiirHofu ipi unaizungumzia na huku ndani mmejaa mijianaume mi nafki , michovu , mizee na michawi hata shetani anawaogopa ndio nani awape mwanamke mwenye hofu , ushindwe ulegee usituchoshe unachart na mtu anakulia timing tu atafaidika nanini humu nawashangaa ga watu wanasema na tafuta mume humu wehu tu
Ila sio hawa waliokoka ukubwani,ambao wanatafuta ndoa kwa nguvu huku wakisahau kurekebisha tabia zao zilizo wafanya wachelewe kuolewa.Older mnaokimbiliaa ndoa