Obama amtania Biden ni Vice President, Biden ashangazwa kuona watu wakijazana kwa Obama huku akibaki pekeyake

watu wapo bize kwamba obama ni charisma, dadeki, obama anafanya maksudi kabisa hapo.

kuna sehemu Biden anamshika Obama bega ila Obama hageuki, ndio nini sasa hii kwa president wa Marekani
Watu hawamkubal Biden saizi...Na watu baadhi wanaamini anaendeshwa Na obama
 
Njoo kwangu nikufunze saikolojia ambayo Hakuna mtanzania anaijua
 
Biden alikosea kutamka Siri ya wamarekani dhidi ya Putin Ila walaumiwe wao kumpa kabla wakijua msahaulifu angeweza ropoka
 
Ni sawa na hapa kwetu hata samia akitoka na kikwete,watu watenda kwa kikwete kuliko kwa bitozo
 
Watu wamemiss obama wewe acha zako., Biden na Obama tunasema ni kama vile mama na Jakaya
 
Kwamba Kama anamaji mdomoni..๐Ÿ˜‚
Mbona ni kawaida tu mkuu hakikisha listening skills yako inaimarika uyazoee maneno haswa jinsi wanavyo sounds watu wa huko (American English).

Hakuna specific area naweza kukudirect isipokuwa kwenye hivihivi vyanzo vyetu vya kawaida YouTube na Google... YouTube zipo documentary zinazoonyesha utambuzi wa body language pia hata ukisearch Google unawezapata makala na vitabu,mi vitabu sisomagi..๐Ÿ˜‚
Bora makala za kuangalia ndo naweza.. by the way hata humu ni chanzo muhimu cha kujua elimu hiyo japo si sana ila vyakuokota vipi. Psychology ni kubwa tafuta unayoyapenda na yenye umaana kwako mengine waachie wataalum waliosomea,sio kada rahisi tu ukamaliza leo kila kitu!

-facial expression
Ina vitu vyake

- postures
Ina vitu vyake

- how you sound
Ina vitu vyake.

Kuna hadi mikunjo inayopatikana ktk sura inamaana yake,hii elimu ilianzia china huko..๐Ÿ˜€
Namna unavyojongea,ishara unazotoa ukiwa unaongea,macho yako huongea pia,mdomo huongea pia,vidole vyako huongea pia mfano unapokuwa umeketi zako husikilizi mziki wala nini ila utakuta unataptap vidole vya mkononi ama mguu kiujumla hiyo inaweza kuonyesha mtu anaprocess kitu ama yupo confused!.. hivi vitu hutokea automatic bila hata wewe kujua!.
Unaweza kuta akapita hata mtu unaempenda ukaanza kutaptap mguu au vidole vya mkono..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
This shit happened to me miaka ya nyuma huko mpaka nikawa najicheka!, it's crazy hata Kama unajua but it happen automatic!.

Kuna kujua makundi ya watu hii ipo Sana humu imeelezewa kwa kina you just use jf search utapata. Mambo ni mengi ila hata kufatilia taarifa za aina fulani inaonyesha pia we ni mtu wa namna gani!,Tafuta mkuu maarifa tunayo humuhumu.
 
marekani hapa walichemka biden akitembea anatetemeka,machozi kila saa anajifuta machozi yale ya kizee anawaharibia taifa na dunia ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ