Mkuu uko sahihi hii kitu nilikuwa najiuliza sana.
Na hata mimi napenda sana kumsikiliza obama japokuwa kwenye maneno 100 huwa namuelewa 10 tu kwa namna anavyoongea kama ana maji mdomoni.
Ila navutiwa sana na uongeaji wake Sojui why.
Mimi napenda sana kujifunza kuhusu mambo ya saikolojia mkuu sijui unanidirect wapi sehemu sahihi ya kujifunza haya mambo
Kwamba Kama anamaji mdomoni..😂
Mbona ni kawaida tu mkuu hakikisha listening skills yako inaimarika uyazoee maneno haswa jinsi wanavyo sounds watu wa huko (American English).
Hakuna specific area naweza kukudirect isipokuwa kwenye hivihivi vyanzo vyetu vya kawaida YouTube na Google... YouTube zipo documentary zinazoonyesha utambuzi wa body language pia hata ukisearch Google unawezapata makala na vitabu,mi vitabu sisomagi..😂
Bora makala za kuangalia ndo naweza.. by the way hata humu ni chanzo muhimu cha kujua elimu hiyo japo si sana ila vyakuokota vipi. Psychology ni kubwa tafuta unayoyapenda na yenye umaana kwako mengine waachie wataalum waliosomea,sio kada rahisi tu ukamaliza leo kila kitu!
-facial expression
Ina vitu vyake
- postures
Ina vitu vyake
- how you sound
Ina vitu vyake.
Kuna hadi mikunjo inayopatikana ktk sura inamaana yake,hii elimu ilianzia china huko..😀
Namna unavyojongea,ishara unazotoa ukiwa unaongea,macho yako huongea pia,mdomo huongea pia,vidole vyako huongea pia mfano unapokuwa umeketi zako husikilizi mziki wala nini ila utakuta unataptap vidole vya mkononi ama mguu kiujumla hiyo inaweza kuonyesha mtu anaprocess kitu ama yupo confused!.. hivi vitu hutokea automatic bila hata wewe kujua!.
Unaweza kuta akapita hata mtu unaempenda ukaanza kutaptap mguu au vidole vya mkono..😂😂
This shit happened to me miaka ya nyuma huko mpaka nikawa najicheka!, it's crazy hata Kama unajua but it happen automatic!.
Kuna kujua makundi ya watu hii ipo Sana humu imeelezewa kwa kina you just use jf search utapata. Mambo ni mengi ila hata kufatilia taarifa za aina fulani inaonyesha pia we ni mtu wa namna gani!,Tafuta mkuu maarifa tunayo humuhumu.