Obasanjo: I told Kikwete, "You are now a man without flag!"

Acha upotoshaji kenge wewe.
Mwenyekiti wa AU lazima awe Rais aliyepo madarakani. Raila ni Rais wa nchi gani?
Ndiyo maana kikwete aliambiwa a man without a flag.......maana yake si Rais tena.
Kenge wewe.
 
Ile nafasi alipaswa kuochukua Kikwete ila amezembea,wewe ni a man without a flag.

Anamaanisha Kikwete atafute bendera ya kimataifa sasa.
 
Kuwa ameshastaafu apunguze kiherehere.
 
Hasimamishi bendera😌😌😌😌
 
Enyi watu,akili ni nini?
 
Umeamua kuwaonea watani zetu ?!!

Huko pwani hawali samaki?!!

Samaki wana "omega 3 fatty acid"...inaongeza sana akili...wajaluo wanajua ,wanyakyusa wa Matema wanajua...wa ziwa Tanganyika hivyo...wa jirani na ziwa victoria the same....
Pwani ipi ambayo hawali samaki kweli wasukuma hamna akili
 
[emoji1787][emoji1787]
Hakika...

Ndizi zina mchango mkubwa....

Endelea kufanya tafiti mwaisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…