Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Nimeingalia hiyo Video, na nimeelewa kwanini hujaeweka hapa JF. Katika mazingira yaliyojitokeza, sioni tatizo lolote.Ingia youtube, andika "I am not as short as you think I am".
Ni video ya dakika chache tu Mkuu.
Alisema: Mh J Kikwete, ulipofika hapa ulitaka kukaa pale kwenye bendera, ila sasa hivi ni mtu usiye na bendera. Kwa vile Rais Samia alikuwepo, ile bendera aliandaliwa yeye. Hivyo ni kweli, J. Kikwete pale kwenye kiti chake hakukuwa na bendera.