Nimeingalia hiyo Video, na nimeelewa kwanini hujaeweka hapa JF. Katika mazingira yaliyojitokeza, sioni tatizo lolote.
Alisema: Mh J Kikwete, ulipofika hapa ulitaka kukaa pale kwenye bendera, ila sasa hivi ni mtu usiye na bendera. Kwa vile Rais Samia alikuwepo, ile bendera aliandaliwa yeye. Hivyo ni kweli, J. Kikwete pale kwenye kiti chake hakukuwa na bendera.