OC - CID Mafwele ni nani? Kwanini haguswi na uhamisho wa Polisi nchini?

OC - CID Mafwele ni nani? Kwanini haguswi na uhamisho wa Polisi nchini?

Kama kuna mtu niliyewahi kutamani afe kwenye tukio la mauaji yaliyochukua maisha ya mpelelezi anaitwa Kijanda nilitamani afe Mafwele badala ya Kijanda maana huyu jamaa ni mwizi wa waziwazi na ana kiburi kuliko askari yoyote niliyewahi kumwona anaweza kupewa maagizo na RPC Akaitikia akienda anafanya ya kwake na marafiki zake wakubwa ni baadhi ya watu wanaojiuhusisha na mitandao ya ujambazi nchini na kwa kifupi hao jamaa zake huwadhili vijana wao kwa silaha na mambo mengine mbalimbali zikiwemo taarifa anazopewa kuzifanyia kazi huwa anazivujisha na zaidi sana hufanyia uhalifu wao mikoa na wilaya za jirani ili kwake kuwe salama matajiri wenye hela za damu wanampenda sana huyu kibaka.

MAFWELE AJIONA NI POLISI,MWANASHERIA,HAKIMU NA JAJI WA RUFAA ANAFANYA ANAVYOTAKA NA ANAISHI ANAVYOJUA HUKU AKIHUDUMIWA NA NA KODI ZA SERIKALI KUANZIA CHUPI ANAZOVAA MPAKA NYUMBA LAKINI HARIDHIKI.
 
Kwa jiji kama ARusha kamanda wa polisi atakiwi kuwa na haiba ya kilokole
 
Hapo kuna mawili! Ukute yeye Ndio kiboko ya mitandao ya majambazi ya Arusha ; Sasa wanatengeneza fitna atolewe jeshi lipoteze dira na majambazi kujipanga na kuanza kusumbua!! Au hizo tuhuma ni za kweli!!
OC-CID niliopata kuwajua wote ni wala rushwa na nikiri kwamba ni watu waovu.Whaf they admit doing is horrific.Yupo mmoja amepanga nyumba yangu,dah, ni moto wa kuotea mbali kwa rushwa.Yupo aliyeondoka ndio akaja huyu wa sasa,alihamishwa na akapata demotion kwa ajili ya rushwa,so hata kwa huyo wa Arusha si ajabu ni mla rushwa.

Jamani,halafu mbona askari wanakiri kwamba wanakula rushwa na wanasema ni haki yao kwa kuwa wao hawana overtime?So to me Polisi ni sehemu ya matatizo yetu kwa hiyo there is nothing new.
 
Huyo alikuwa Kaka yake!!! Yeye hakusoma miaka hiyo na shule hiyo
Huyu jamaa ni huyo huyo ninayemfahamu alisoma Geita Sec. Miaka ya 80' katikati? Mafwele ni Mkara, alikuwa katibu wa shule na alikuwa katili sana kiasi vijana wa kidato cha kwanza tulikuwa tunamwogopa utafikri naye ni headmaster! Kama ndo yeye basi kumbe watu huwa hatubadiliki!
 
Back
Top Bottom