OCD Meatu kuwaandikia barua Chadema kwamba wasifanye mikusanyiko kwa sababu kuna tishio la Ugaidi, kauli hii ya maandishi ina madhara gani kiuchumi?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Ipo barua inasambaa mitandaoni kutoka kwa oCD Meatu ikiziia mikusanyiko ya wanachama wa Chadema Kwa sababu kwamba kipimdi hiki Kuna tishio la Ugaidi.

Yawezekana sababu hii ni ya msingi au isiwe na msingi. Lakini barua hii ambayo naamini itasambaa Dunia ina madhara makubwa KULIKO faida kwa Taifa LETU.

Naomba tujiulize maswali yafuatayo;

1. Ni kweli lipo tishio la Ugaidi nchini?

2. Kama lipo, Nani alipaswa kutangaza uwepo wa tishio ilo?

3. Kama halipo, Nani atakwenda kuiambia Dunia kwamba Tanzania ni sehemu salama kiuwekezaji na haki tishio la Ugaidi?

4. Kama tishio lipo na OCD ametangaza bila kujua Nini madhara ya kauli yake, Je ni lini viongozi wanaoteuliwa watabaki kuwa wale tu waliosomea uongozi na siyo wale waliojikuta viongozi kwa mserereko wa vyeo.

5. Ni upi msimamo wa Serikali kuhusu barua hii iliyozua taaruki mitandaoni?
 
Ipo barua inasambaa mitandaoni kutoka kwa oCD Meatu ikiziia mikusanyiko ya wanachama wa Chadema Kwa sababu kwamba kipimdi hiki Kuna tishio la Ugaidi. Yawezekana sababu hii ni ya msingi au isiwe na msingi. Lakini barua hii ambayo naamini itasambaa Dunia ina madhara makubwa KULIKO faida kwa Taifa LETU. Naomba tujiulize maswali yafuatayo;
1. Ni kweli lipo tishio la Ugaidi nchini?
2. Kama lipo, Nani alipaswa kutangaza uwepo wa tishio ilo?
3. Kama halipo, Nani atakwenda kuiambia Dunia kwamba Tanzania ni sehemu salama kiuwekezaji na haki tishio la Ugaidi?
4. Kama tishio lipo na OCD ametangaza bila kujua Nini madhara ya kauli yake, Je ni lini viongozi wanaoteuliwa watabaki kuwa wale tu waliosomea uongozi na siyo wale waliojikuta viongozi kwa mserereko wa vyeo.
5. Ni upi msimamo wa serikali kuhusu barua hii iliyozua taaruki mitandaoni?
Kwani hujui Chadema ni magaidi wakiongozwa na kiongozi wao Gaidi Mbowe??!
 
Watalii wataanza kuiogopa tanzania
 
Kama hawa ni raia wema sio.

Hicho mnachokijadili wallah mtakipata tujetuwaone na ubabe wenu.

Mungu jaalia huwo ugaidi wanaoupigia kelele kuwepo nchi uwepo kwelikweli na uharibu kila sekta za serikali.
IMG_20211111_073016.jpg

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Kauli ya maandishi toka jeshi la polisi inayohubiri uwepo wa matishio ya ugaidi nchini ni hatari kwa mustakabali wa uwekezaji na Mpango wa mama wa kui-brand Tanzania
 
Yaani ndipo ulipofikia ukomo na akili za waliopewa madaraka na viongozi wa chama changu cha CCM,, Intetijensia yao imeishia hapo_____________!!¡!
 
Watalii wataanza kuiogopa tanzania
Itakuwa vyema tu, kwani wahuni wanaosemwa wamebakia ndani ya chama chakavu, wanafanya juhudi kubwa kuliangamiza taifa, wenye chama lao chakavu wapo usingizini🤔.
 
Yaani ndipo ulipofikia ukomo na akili za waliopewa madaraka na viongozi wa chama changu cha CCM,, Intetijensia yao imeishia hapo_____________!!¡!
Endelea kulipambania Chama chakavu ndugu. Ulilichagua mwenyewe, ulilipenda mwenyewe, Sasa acha uuisome namba eeeh, chama chakavu mbele Kwa mbeleee🏃.
 
Yaani Magaidi wasilipue Dar es Salaam penye Mambo mengi na Vitu vingi mpaka na idadi ya Watu Kubwa wakahangaike na Meatu? Hawa ni Magaidi au ni Wapumbavu tu?
Weledi wa chama chakavu &co.
 
Acha umbumbumbu weye , kwani mwalimu wako wa shule na darasa la chini ya mti alishindwa hata kukusaidia kuelewa hata kidogo[emoji848].
Kama kiongozi wenu ni gaidi kwa nini nyinyi muaminiwe!
 
Ugaidi naona ccm wanajiandaa Kama walivyouandaa wa mwekiti chadema,hakika swala la ugaidi likifika Tanzania sijui tutakimbilia wapi,punguzeni jaziba za kisiasa jibuni kwa hoja na kutishana hii Ni nchi iliyosalama.
 
Itakuwa vyema tu, kwani wahuni wanaosemwa wamebakia ndani ya chama chakavu, wanafanya juhudi kubwa kuliangamiza taifa, wenye chama lao chakavu wapo usingizini[emoji848].
Daaaa sisi wa huku mkojani tunasema potelea pweeeteee maana sisi twaaaahlaaa
 
Back
Top Bottom