OCD Meatu kuwaandikia barua Chadema kwamba wasifanye mikusanyiko kwa sababu kuna tishio la Ugaidi, kauli hii ya maandishi ina madhara gani kiuchumi?

OCD Meatu kuwaandikia barua Chadema kwamba wasifanye mikusanyiko kwa sababu kuna tishio la Ugaidi, kauli hii ya maandishi ina madhara gani kiuchumi?

Sisi wenye makampuni ya utalii na mahoteli tumeshaanza kupata cancellations za kutosha.
Aisee poleni sana na hayo ni matatizo ya kujitakia ili ku justify mambo yanayo endelea dhidi ya wapinzani.
 
Back
Top Bottom