Hayo ndiyo mawazo kutoka kwa kiongozi aliye komaa kisiasa na aliye kubali kuwa rais wa watanzania.Riz1:
Baba mbona unasemwa vibaya na unatukanwa sana hadi kwenye mitandao na hauchukui hatua..??
Jk:
Mwanangu, katiba ya JMWT imempa Rais mamlaka makubwa sana. Sasa nikitaka kuwachukulia hatua nitafunga wangapi..!!
Hii tuiingize kwenye maajabu 7 ya DuniaAu wakuu mnasemaje?
Hebu soma hii.
Wakati sekretariet ya ccm_tanzania ikiwa imemaliza kutembelea mikoa kadhaa ya ikiwemo Kagera,Kigoma,na Katavi huku wakifanya mikutano ya hadhara, jeshi la polisi @tanpol limezuia mikutano ya @ChademaTz kwa kile kilichoelezwa uwepo wa tishio la Ugaidi nchini Tanzania.
[emoji38][emoji38][emoji38]Katiba hii inampa mamlaka makubwa sana rais. Anaweza kuamua kuuwa wapinzani wote na asishitakiwe popote
Umenikumbusha kuwa Hamza alikuwa ni mwana ccm lialia
Plpl katwambia eti wahuni bado wapoAu wakuu mnasemaje?
Hebu soma hii.
Wakati sekretariet ya ccm_tanzania ikiwa imemaliza kutembelea mikoa kadhaa ya ikiwemo Kagera,Kigoma,na Katavi huku wakifanya mikutano ya hadhara, jeshi la polisi @tanpol limezuia mikutano ya @ChademaTz kwa kile kilichoelezwa uwepo wa tishio la Ugaidi nchini Tanzania.
Ndugu yangu Nizasasa hivi sasa mchana acha kuota ndoto za mchana sii zakweli ni za uongoAibiwe nani wakati lichama la kaskazini lilijifia siku makengeza alipobadili gia angani mwaka 2015
Watavuna walichopanda na kwa hii barua naamini kuna kundi la watu serikalini kwa makusudi wanamhujumu mama Samia.Kauli ya maandishi toka jeshi la polisi inayohubiri uwepo wa matishio ya ugaidi nchini ni hatari kwa mustakabali wa uwekezaji na Mpango wa mama wa kui-brand Tanzania
Ndugu yangu Nizasasa hivi sasa mchana acha kuota ndoto za mchana sii zakweli ni za uongo
[emoji848].
Hata slow atapingana na hoja yako ngoja apande dk45 utarudisha mrejesho humu🤔.Wewe ndio unaota ndoto za mchana kwa sababu ni chama kipi kingeweza kuishinda CCM katika uchaguzi uliopita ? Siasa imewashinda mnabaki kuleta visingizio tu.
Kama rais alisha sema kuna magaidi wamesha hukumiwa, hawa wana shindwaje kuongea ugoro?Ipo barua inasambaa mitandaoni kutoka kwa oCD Meatu ikiziia mikusanyiko ya wanachama wa Chadema Kwa sababu kwamba kipimdi hiki Kuna tishio la Ugaidi.
Yawezekana sababu hii ni ya msingi au isiwe na msingi. Lakini barua hii ambayo naamini itasambaa Dunia ina madhara makubwa KULIKO faida kwa Taifa LETU.
Naomba tujiulize maswali yafuatayo;
1. Ni kweli lipo tishio la Ugaidi nchini?
2. Kama lipo, Nani alipaswa kutangaza uwepo wa tishio ilo?
3. Kama halipo, Nani atakwenda kuiambia Dunia kwamba Tanzania ni sehemu salama kiuwekezaji na haki tishio la Ugaidi?
4. Kama tishio lipo na OCD ametangaza bila kujua Nini madhara ya kauli yake, Je ni lini viongozi wanaoteuliwa watabaki kuwa wale tu waliosomea uongozi na siyo wale waliojikuta viongozi kwa mserereko wa vyeo.
5. Ni upi msimamo wa Serikali kuhusu barua hii iliyozua taaruki mitandaoni?
Period ya Member of Parliament??Ocd ni kilaza period over
Wao ndio magaidiMbona chama tawala wanakusanyika...
Hakika, wakijificha kwenye kivuli cha kijani...Wao ndio magaidi
Sisi wenye makampuni ya utalii na mahoteli tumeshaanza kupata cancellations za kutosha.Watalii wataanza kuiogopa tanzania
Na wanaye Hamza pia!Kama hawa ni raia wema sio.
Hicho mnachokijadili wallah mtakipata tujetuwaone na ubabe wenu.
Mungu jaalia huwo ugaidi wanaoupigia kelele kuwepo nchi uwepo kwelikweli na uharibu kila sekta za serikali.View attachment 2025550
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app