swagazetu JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 4,250 Reaction score 1,470 Nov 28, 2021 #61 Ccm hawana uwzo wa kuipelwka nchi kwenye hatua za maendeleo
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 Nov 28, 2021 #62 mbongombishi said: Sisi wenye makampuni ya utalii na mahoteli tumeshaanza kupata cancellations za kutosha. Click to expand... Aisee poleni sana na hayo ni matatizo ya kujitakia ili ku justify mambo yanayo endelea dhidi ya wapinzani.
mbongombishi said: Sisi wenye makampuni ya utalii na mahoteli tumeshaanza kupata cancellations za kutosha. Click to expand... Aisee poleni sana na hayo ni matatizo ya kujitakia ili ku justify mambo yanayo endelea dhidi ya wapinzani.
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 Nov 28, 2021 #63 santesandy said: Na wanaye Hamza pia! Click to expand... Hilo wameshalisahau maana hawachelewagi kusahau kama kuku
santesandy said: Na wanaye Hamza pia! Click to expand... Hilo wameshalisahau maana hawachelewagi kusahau kama kuku
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 Nov 28, 2021 #64 swagazetu said: Ccm hawana uwzo wa kuipelwka nchi kwenye hatua za maendeleo Click to expand... Hawawezi kabisa maaana sasa ni 60 yrs bado tupo kwenye lindi la umasikini
swagazetu said: Ccm hawana uwzo wa kuipelwka nchi kwenye hatua za maendeleo Click to expand... Hawawezi kabisa maaana sasa ni 60 yrs bado tupo kwenye lindi la umasikini