Hakuna haja ya kulipa ubaya kwa ubaya.. Kesho ipo.. Inafaa kuwajibu kwa upole ili waone walipopotoka na kupata nafasi ya kutafakari na ikiwapendeza wabadiikeBraza unahekima sana. Mie ningekuwa wewe ningewapa dhahama ya kimbunga cha kupiga kwikwi laki 2 kwa mwezi mzima..
We unatumia hekima sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora, uzima ndugu !Hiyo ya kuboresha afya hasa Kama uwezo wa fedha unaruhusu naukubali Ila nyungo?mmmh
Nilicho kiexpirience kile kitendo cha kufunikwa na mvuke kukupata huku ukivuta pumzi yenye joto , mwili unachemka na jasho kukutoka jingi mzunguko wa damu hapa unaongezeka.Hiyo ya kuboresha afya hasa Kama uwezo wa fedha unaruhusu naukubali Ila nyungo?mmmh
Pole sana na tunashukuru umeokoka kwa covidNakushuhudia, shauri na wengine nimetoa hali halisi.
Elimu imeshatolewa na mh magufuli,amesema tusiogope,tuchape kazi,elimu gani ingine unataka?
Nitajsribu pia siku moja,unaipiga ikiwa jikoni au unaiipua then unaenda kuipigia pembeni?Nilicho kiexpirience kile kitendo cha kufunikwa na mvuke kukupata huku ukivuta pumzi yenye joto , mwili unachemka na jasho kukutoka jingi mzunguko wa damu hapa unaongezeka.
Ni mambo ambayo yanapatikana Gym wanaita Sauna.
Nyungu ni ya wahenga nawakubali mno.
Ni vizuri kupashana habari...ila tatizo ni nia ya mtoa habari...hapa naongelea in general wanaopenda kuleta habar za namna hii...unakuta case nyingine mtu hajafa kwa dalili za #covid19 na kafia hospitali isiyohudumia wagonjwa wa namna hii,ila mtoa taarifa anatushawishi kafa kwa #covid19,halafu zaidi anapongeza.Its alright but nini maana ya kupashana habari?
Jr[emoji769]
Cheki whatsap yko nmekutumia kuhusu yule aliyekuwa anajiita dr corona virus raia wa cameronHiyo enjoyment iko wapi hapo
Jr[emoji769]
Ukisha changanya majani kama, majani ya mwembe, mparachichi, mpera, mchaichai, alovera, mlonge na mengineyo inayojulikana kama miti tiba siyo lazima upate yooote.Nitajsribu pia siku moja,unaipiga ikiwa jikoni au unaiipua then unaenda kuipigia pembeni?
Sawa mkuu na Asante sana,nitajaqribu Ila Kuna Dr mmoja wa MUHAS nilimsikia amishauri Mambo mawili 1. Ule mfuke wa kwanza uachwe upite,2. kuvumba machoUkisha changanya majani kama, majani ya mwembe, mparachichi, mpera, mchaichai, alovera, mlonge na mengineyo inayojulikana kama miti tiba siyo lazima upate yooote.
Iweke kwwnye sufuria pamoja na maji ichemke ukiwa umefunika ,ukiona imeiva ,andaa mazingira yako kama ni chumbani , weka blanket au shuka nzito, kaipue sufuria yako ikiwa imefunikwa peleka chumbani vua nguo bakia na underwear , jifunike pamoja na sufuria.
Kisha lifunue ukiwa na mwiko , mvuke wake utakuingia , ukiona imetulia geuzageuza yale majani kwa ule mwiko , mvuke utaibuka tena utaona jinsi unavyotoka jasho.
Kuna kitu utajifunza na utapenda , baada ya kujiridhisha ww mwenyewe jifunue mwili uko chapachapa na furaha tele.
Is this a line out of a "12 Years A Slave" ? You must be feelin' like being a cracker today just like in the movies.I never had such thing with CONDEMNED NIGGERS...
Jr[emoji769]
O.k. poleni sanaYuko kisarawe hakukaa sana
Jr[emoji769]
Hapana huungui, weka vipimo mfano, unaweza kaa chini jungu katikati ya mapaja yako .Sawa mkuu na Asante sana,nitajaqribu Ila Kuna Dr mmoja wa MUHAS nilimsikia amishauri Mambo mawili 1. Ule mfuke wa kwanza uachwe upite,2.kuvumba macho
Wewe unasemaje ufunue nyungu ukiwa umeshajifungia,si nitaungua?
Ni kweli kimetokea mchana huu wa leo 07/ MayMkuu samahani dkt.Kinabo kafariki lini?Doh huu ugonjwa unaondoka na wataalamu wengi,hauangalii wala hauchagui.Janga hili litatuacha na mapengo mengi sana yasiyozibika katika jamii kirahisi.
Mshana Jr ni polisi. Hawezi kufrahia kifo cha poti mwenzakeHasa huyo mshana