Odama huvumi lakini umo

yani ni kweli haiwezekani tunapishana tu pale nje na parking wanakuja mpaka eneo letu alafu posho wanatutosa na kwenda kufata vidada vya udom na St. John

Heheheeehe..lol... shouger amka kabla jua halijazama oohoooo..
 

weka picha tafwadhali
 
Eti alikuwa anasema ooh anasafir business class halafu mara kwa mara anakuja bongo ooh...

Mara ooh sijui ona anakula restaurants Kali.

I was like eeeh...kweli ushamba na ujuha ni mzigo wa misumari

Duniani Kama una akili timamu hauwezi kujivunia how umespend kwenye kula ila how much umeinvest na ma asset yako. Kuna Mshipa kichwani utakuwa umelegea si bure...
 
hahhaha nitaenda huko huko nikaone kwa macho na hicho kibabu cha kizungu kwenye picha ndo shem wetu au

Huyo shoga ake mange Mbona aliolewa na Mzungu na tulishamcheka sana tu hapa....me Ndo Nina mpango wa kutafuta kibabu changu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…