Odama huvumi lakini umo

Odama huvumi lakini umo

yani ni kweli haiwezekani tunapishana tu pale nje na parking wanakuja mpaka eneo letu alafu posho wanatutosa na kwenda kufata vidada vya udom na St. John

Heheheeehe..lol... shouger amka kabla jua halijazama oohoooo..
 
Hahaha yani Mange amejua kubrain wash watu..kale kakitu Kama Kaungo alikomlazia Keanu day 2 after kutoka hospo (apart from Kile kitanda cha duara -crib) nilikaona mahali bei Wala haikuzidi laki 3 ya tz...ila sasa watu walivyomuabudu na kuona Kama sijui ni nini....

Hivi assume mshahara wako ni dollar 10,000 as rates za Majuu si Kama za bongo hasa kwa watu wenye ujuzi na uzoefu wa kutosha wanaofanya kwenye kampuni kubwa utashindwa kununua crib na kale Kaungo ka mtoto?? Vitu vingine tunakuza.

Kama angekuwa wa high life angejifungua last week Leo yuko kiwandani kusimamia nguo? Klyn bwana Ndo alijua kuweka heshima wengine wote waigaji tu

weka picha tafwadhali
 
Eti alikuwa anasema ooh anasafir business class halafu mara kwa mara anakuja bongo ooh...

Mara ooh sijui ona anakula restaurants Kali.

I was like eeeh...kweli ushamba na ujuha ni mzigo wa misumari

Duniani Kama una akili timamu hauwezi kujivunia how umespend kwenye kula ila how much umeinvest na ma asset yako. Kuna Mshipa kichwani utakuwa umelegea si bure...
 

Attachments

  • 1396985111260.jpg
    1396985111260.jpg
    61.6 KB · Views: 223
  • 1396985128800.jpg
    1396985128800.jpg
    70.2 KB · Views: 219
  • 1396985175081.jpg
    1396985175081.jpg
    50.7 KB · Views: 223
hahhaha nitaenda huko huko nikaone kwa macho na hicho kibabu cha kizungu kwenye picha ndo shem wetu au

Huyo shoga ake mange Mbona aliolewa na Mzungu na tulishamcheka sana tu hapa....me Ndo Nina mpango wa kutafuta kibabu changu
 
Back
Top Bottom