Odama huvumi lakini umo

Odama huvumi lakini umo

Hawasagani bana rekebisha kauli wanapumulianaa,kwahiyo watakua wanafanya threesome eee tena humo humo kwa Wema ndio maana hawaishi wote kua pamojaa manena zaoo

Hahahahaaaa... ni balaaaa
 
Hawasagani bana rekebisha kauli wanapumulianaa,kwahiyo watakua wanafanya threesome eee tena humo humo kwa Wema ndio maana hawaishi wote kua pamojaa manena zaoo

Huyo pet na romy hawan kaz za maan wenyew wanatak kuhongwa tu na mijimama yenye pesa n wazee
 
Wakati kuna watu wanawaza walifanyie nn taifa letu ili wakumbukwe ye anawaza kutukana tu kila mtu ili apate umaarufu kwa mgongo wa watu.. umaarufu wenyewe wa bifu.buyu tu yule zero brain kabisa

heheee salute kwenu..threaad imetembea page y 20 lol

natamani angekuja huku aone madongo yakeeeeeeee
 
Ha ha ha huyo manager sijaona umaneger wake anakula hela za wema tu, wema anichukue mimi nimmanage, yaani kwa jinsi anavyopendwa angetoa clothing line, au hata lipshine brand name anaweka wema sepetunga mbona zingenunuliwa hajui kulitumia jina lake kibiashara

Wee nae Kwa kuiga unafikiri Ni rahisi kihivo eeee
 
Back
Top Bottom