TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,690
- 2,433
Hawasagani bana rekebisha kauli wanapumulianaa,kwahiyo watakua wanafanya threesome eee tena humo humo kwa Wema ndio maana hawaishi wote kua pamojaa manena zaoo
Hahahahaaaa... ni balaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawasagani bana rekebisha kauli wanapumulianaa,kwahiyo watakua wanafanya threesome eee tena humo humo kwa Wema ndio maana hawaishi wote kua pamojaa manena zaoo
Kazi kwelikweli.....nadhani sidiria yake ina password...Hiyo sababu ya kutovua sidiria akido nimesikia eti kisa titi moja bandia aliwekwa mwaka 2009.
Hawasagani bana rekebisha kauli wanapumulianaa,kwahiyo watakua wanafanya threesome eee tena humo humo kwa Wema ndio maana hawaishi wote kua pamojaa manena zaoo
Huyo pet na romy hawan kaz za maan wenyew wanatak kuhongwa tu na mijimama yenye pesa n wazee
Kazi kwelikweli.....nadhani sidiria yake ina password...
Hahhhha hee kumbe tena bandiaaa la kuvaa au lilipachikwaa kabisaa
Sijui sasa kuna mtu jf alisha mpitia ndo akasema hivyo kwenye thread yake.
Mwe haya nipe ufafanuzi....la hilo neno kunyamba...mhh hilo neno kunyamba wengine kwetu linamaana nyingine lol!! umenirusha roho bora ungeamua kutumia kuchamba.
Mwe haya nipe ufafanuzi....la hilo neno kunyamba...
Mwe nimepitwaje jamani na huu uzi.. Heaven on Earth hata kunishtua....
Wakati kuna watu wanawaza walifanyie nn taifa letu ili wakumbukwe ye anawaza kutukana tu kila mtu ili apate umaarufu kwa mgongo wa watu.. umaarufu wenyewe wa bifu.buyu tu yule zero brain kabisa
TATIANA come this way umuone muheshimiwa first classweek end hii jiandae !!!!something big is coming make sure unavinja kabatii
Ha ha ha huyo manager sijaona umaneger wake anakula hela za wema tu, wema anichukue mimi nimmanage, yaani kwa jinsi anavyopendwa angetoa clothing line, au hata lipshine brand name anaweka wema sepetunga mbona zingenunuliwa hajui kulitumia jina lake kibiashara
Kichwa kimepoaa jana ulihepa mapemaaa
Wee nae Kwa kuiga unafikiri Ni rahisi kihivo eeee
kipi rahisi sasa....si bora ye anaefikiria kuiga we umefikiria nini hasa
swali juu ya swali twitybird inahuu