United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
- Thread starter
- #181
Umefunga pm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefunga pm
Achana nao nishafunga OFA Tayari watu mda wote wanawaza kuibiwa kama uyo HIRMARS ana matatizo sana sio BureHivi kama umeambiwa unapewa connection na mchina,means unakutanishwa nae.... Na kukutanishwa ni lazima kwenda dsm,utaenda mpaka dukani au store...utaona bidhaa...utachagua, utalipia utapewa risit na mzigo hapo hapo utapeli utakujaje???
Na ukisha fanya nao kazi na kuwaona sio wasumbufu utakuwa unatuma hela na kutumika mzigo uliko kupitia transport za kwenu....... Hivi ndivyo tunavyo fanya kwenye bidhaa zingine
Na pia wanakuwa na group za wateja wao, Kazi mpya zikifika mnatumiwa .... Pokeeni connection au hamzoea kizuri kula na wenzako?
ulizia apa apa nikujibu mda umeisha wakupeleka watuMkuu United ya Ferguson namba tafadhali
Wa tz hatuja zoea vitu vyepesiAchana nao nishafunga OFA Tayari watu mda wote wanawaza kuibiwa kama uyo HIRMARS ana matatizo sana sio Bure
Acha tu mkuu[emoji1787][emoji1787], mi nashinda kkoo ila sijakutana na hizo chupi dozen aftatu akii ningezibebaaaaaManake hapo kwanza Nchekeh [emoji23]
Mkuu nimekosea nilijua namjibu yeye, naona kapoteaUyu aliyekwambia anapajua ndio muombe Ata akua anazungumzia wale wauza nyasi wenye taiti hadi za 12000 Kwa dozen
Haya ni maajabu. Dozen nzima aftatuAcha tu mkuu[emoji1787][emoji1787], mi nashinda kkoo ila sijakutana na hizo chupi dozen aftatu akii ningezibebaaaaa
Wewe mtafte sanga Ana bei nzur tu. Achana na Habari za wachinaWakuu nataka connection ya car accessories kwa bei ya jumla kwenye hiyo mizigo wanayoshusha wachina
Nina shida na net za chuma kiongoziulizia apa apa nikujibu mda umeisha wakupeleka watu
Zile ndogo au kubwaNina shida na net za chuma kiongozi
Wewe mtafte sanga Ana bei nzur tu. Achana na Habari za wachina
Kwa waliopo Dodoma, Dar na maeneo mengine ya Tanzania na toa OFA ya mwenzi mmoja ya kuwaunganisha na Wachina wanaoshusha na kuuza mzigo wa bei ya jumla kariakoo kwenye bidhaa zifwatazo.
Kampuni za kichina zinazoshusha hands bags mfano hands bags zote za suzens, wahha, botiouqe, LV Kwa anayehitaji kufungua duka la hands bags na hajui wapi atapata mzigo wa bei ya jumla wa hands bags Kwa bei ya kitonga anicheki au pia kama kuna mfanyabiashara anahangaika wapi atapata kununua hands bags za bei ya chini kariakoo anicheki nitamunganisha na wachina wanaoshusha hands bags za jumla kuhusu bei za hands bags zipo hands bags za 4500 na kuendelea.
Kampuni za vifaa vya electronics mfano radio, Tv, na fridge n.k kwaanayehangaika na kujiuliza wapi nitapata mzigo wa bei nafuu kwenye bidhaa za electronic basi anicheki nitamunganisha na kampuni ya solar max, kampuni ya ailyons, kampuni ya hisence, kampuni ya Mr uk, kampuni ya aboader, kampuni ya Good vision, kampuni ya star x kama unahitaji Tv nch 17 hadi 75 Kwa bei za kitonga nicheki nitamunganisha na wachina wanauza bei za jumla kuhusu bei Kuna Tv nch 32 unapata hadi Kwa 195000
Wachina wanaoshusha Nguo za ndani za kike mfano taiti za aina zote mfano bana tumbo, normal Kwa anayehitaji kupata wachina wanaoshusha mzigo wa jumla kweny hizi bidhaa atanicheki niweze kumunganisha na wachina
Wachina wanaoshusha Neti mfano Neti zote za chuma na duara Kwa mtu yoyote anayehitaji kupata connection ya wachina wanaouza Neti Kwa bei za jumla anicheki nina connection na wachina wa luck Neti na baadhi ya kampuni bei za Neti zipo 14000,16000 n.k
Wachina wanaoshusha begi za migongogoni, Kwa wafanyabiashara wanaohitaji Kujua wapi watapata begi za migongoni Kwa bei nafuu ila hawajuiajui wapi watapata anicheki nitamunganisha na wachina wanaouza begi za kampuni ya ponaso, Marcelo n.k
Wanaoshusha jeans na kadeti, Kwa wale wanaohitaji kupata connection ya wanaoshusha jeans na kadeti Kwa bei ya jumla kariakoo wanicheki nitamunganisha na wauzaji wa bei za jumla.
Wanaoshushaha Gauni za Nairobi na KICHINA, Kwa wale wanaohitaji connection za wanaouza na kushusha Gauni za bei ya jumla kutoka china na Nairobi watanitafuta niwaunganishe na wachina wanaouza bei kitonga.
Connection za wachina wa flat shoes Kwa wale wanaohitaji kupata connection za wachina wanao shusha viatu vya jumla pia nitamunganisha na mchina wa excellent na wengineo.
NB: Connection za hawa wachina wote ni za wale wanaouza mzigo Kwa bei ya jumla na ndio hawa wanaowauzia wafanyabiashara wengine Na ofa hii natoa ndani ya mwezi mmoja tu Kwa mda huu nipo Dodoma kwahyo kama upo dodoma na sehemu zingine unahitaji connection nicheki hizo picha ni baadhi ya sample tu
View attachment 2546069View attachment 2546071View attachment 2546073View attachment 2546074View attachment 2546075
Size ya 5×6Zile ndogo au kubwa