Zombi Mweusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 841
- 1,755
Mkuu mi mzee wa uvuvi nipe connection ya vifaa vya uvuvi,means Nyavu,ndoano,kamba na vitu vingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchina anaza na pisi 30 kwahyo kama Unafika iyo idadi njoo kkooSize ya 5×6
Labda kama wanatengeneza Kwa magome ya miti ya sabuniAcha tu mkuu[emoji1787][emoji1787], mi nashinda kkoo ila sijakutana na hizo chupi dozen aftatu akii ningezibebaaaaa
[emoji1787]kwakweliiLabda kama wanatengeneza Kwa magome ya miti ya sabuni
za bei gani mkuu?Ahsante mm nimepata wadau wa Jeans kariakoo
Jumla orBinafsi nimeenda Kariakoo Juzi na Kukutana na Mtoa Mada United ya Ferguson , amenipekeka mahala nikachukua Tv Smart kwa Bei poa kabisa. Ahsante sana Mzee United ya Ferguson
Ndio jumlaJumla or
Maan na mpango wa kununua smart tv na katv nyingine ya kawaida inch 32
Nicheck PM mkuuNdio jumla
Nenda udoe Street na Nyamwezi.Sanga ndio nani Mkuu, mawasiliano yake au Ista oage yake tafadhali.
Huo mguu kwenye viatu ni wa kwako dada? Ila na wewe kwa nini unaandika "Hands Bags?"Kwa waliopo Dodoma, Dar na maeneo mengine ya Tanzania na toa OFA ya mwenzi mmoja ya kuwaunganisha na Wachina wanaoshusha na kuuza mzigo wa bei ya jumla kariakoo kwenye bidhaa zifwatazo.
Kampuni za kichina zinazoshusha hands bags mfano hands bags zote za suzens, wahha, botiouqe, LV Kwa anayehitaji kufungua duka la hands bags na hajui wapi atapata mzigo wa bei ya jumla wa hands bags Kwa bei ya kitonga anicheki au pia kama kuna mfanyabiashara anahangaika wapi atapata kununua hands bags za bei ya chini kariakoo anicheki nitamunganisha na wachina wanaoshusha hands bags za jumla kuhusu bei za hands bags zipo hands bags za 4500 na kuendelea.
Kampuni za vifaa vya electronics mfano radio, Tv, na fridge n.k kwaanayehangaika na kujiuliza wapi nitapata mzigo wa bei nafuu kwenye bidhaa za electronic basi anicheki nitamunganisha na kampuni ya solar max, kampuni ya ailyons, kampuni ya hisence, kampuni ya Mr uk, kampuni ya aboader, kampuni ya Good vision, kampuni ya star x kama unahitaji Tv nch 17 hadi 75 Kwa bei za kitonga nicheki nitamunganisha na wachina wanauza bei za jumla kuhusu bei Kuna Tv nch 32 unapata hadi Kwa 195000
Wachina wanaoshusha Nguo za ndani za kike mfano taiti za aina zote mfano bana tumbo, normal Kwa anayehitaji kupata wachina wanaoshusha mzigo wa jumla kweny hizi bidhaa atanicheki niweze kumunganisha na wachina
Wachina wanaoshusha Neti mfano Neti zote za chuma na duara Kwa mtu yoyote anayehitaji kupata connection ya wachina wanaouza Neti Kwa bei za jumla anicheki nina connection na wachina wa luck Neti na baadhi ya kampuni bei za Neti zipo 14000,16000 n.k
Wachina wanaoshusha begi za migongogoni, Kwa wafanyabiashara wanaohitaji Kujua wapi watapata begi za migongoni Kwa bei nafuu ila hawajuiajui wapi watapata anicheki nitamunganisha na wachina wanaouza begi za kampuni ya ponaso, Marcelo n.k
Wanaoshusha jeans na kadeti, Kwa wale wanaohitaji kupata connection ya wanaoshusha jeans na kadeti Kwa bei ya jumla kariakoo wanicheki nitamunganisha na wauzaji wa bei za jumla.
Wanaoshushaha Gauni za Nairobi na KICHINA, Kwa wale wanaohitaji connection za wanaouza na kushusha Gauni za bei ya jumla kutoka china na Nairobi watanitafuta niwaunganishe na wachina wanaouza bei kitonga.
Connection za wachina wa flat shoes Kwa wale wanaohitaji kupata connection za wachina wanao shusha viatu vya jumla pia nitamunganisha na mchina wa excellent na wengineo.
NB: Connection za hawa wachina wote ni za wale wanaouza mzigo Kwa bei ya jumla na ndio hawa wanaowauzia wafanyabiashara wengine Na ofa hii natoa ndani ya mwezi mmoja tu Kwa mda huu nipo Dodoma kwahyo kama upo dodoma na sehemu zingine unahitaji connection nicheki hizo picha ni baadhi ya sample tu
View attachment 2546069View attachment 2546071View attachment 2546073View attachment 2546074View attachment 2546075
Wapo Wachina wanaouza vifaa vya ujenzi?Kwa waliopo Dodoma, Dar na maeneo mengine ya Tanzania na toa OFA ya mwenzi mmoja ya kuwaunganisha na Wachina wanaoshusha na kuuza mzigo wa bei ya jumla kariakoo kwenye bidhaa zifwatazo.

Ndio ila siwafahamuWapo Wachina wanaouza vifaa vya ujenzi?
Wew mim sio dadaHuo mguu kwenye viatu ni wa kwako dada? Ila na wewe kwa nini unaandika "Hands Bags?"
OFA mda wake umeishaPm yako imeblock
Asante mkuu kwa ufafanuzi! Nisamehe bure nilipokosea!Wew mim sio dada
Tupe mawasiliano sasa mkuu . Umepeleka mtu mmoja tu wakati wanaohitaji connection ni wengi.Kuna mmoja nimempeleka Leo Kwa mchina kachukua mikoba karibu cartoon 3 za pisi 100 kutoka hum hum
Nimempeleka watu wengi tuTupe mawasiliano sasa mkuu . Umepeleka mtu mmoja tu wakati wanaohitaji connection ni wengi.