United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
- Thread starter
- #161
Muombe namba yake umpelekeUsimtapeli mwenzako ukienda Mtaaa wa Muhonda Chupi dozen zaanzia 3000.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muombe namba yake umpelekeUsimtapeli mwenzako ukienda Mtaaa wa Muhonda Chupi dozen zaanzia 3000.
Mkuu nilikua nauliza tu, by the way nipm namba yako kama uko kariakoo unipeleke huko kwa elfu 3 dozen mkuuUsimtapeli mwenzako ukienda Mtaaa wa Muhonda Chupi dozen zaanzia 3000.
Ahaa sawa asante mkuuzile wanauza Kwa dozen 10000,9500,8000 ukiwa na 1000000 unaweza kupata dozen nyingi sana ila sjui wew mtaji wako bei gani
Kwamba hupajui mtaa wa muhonda au?Mkuu nilikua nauliza tu, by the way nipm namba yako kama uko kariakoo unipeleke huko kwa elfu 3 dozen mkuu
Sijaikariri mitaa kwa majina mkuu, nimeikariri kutokana na bidhaa na majina ya wauzaji mf kwa Victor, elegant, zakia n.k au mtaa wa chupi, viatu, vyombo, pochi and so farKwamba hupajui mtaa wa muhonda au?
Mpeleke Nani kakwambia Kila mtu anapajua kariakoo kwahyo akijua mtaa wa muhonda ndio atamjua anayeuza chupi za 3000Kwamba hupajui mtaa wa muhonda au?
Unamjua hadi victor muuza magauni maana ake upo kariakooSijaikariri mitaa kwa majina mkuu, nimeikariri kutokana na bidhaa na majina ya wauzaji mf kwa Victor, elegant, zakia n.k au mtaa wa chupi, viatu, vyombo, pochi and so far
Mkuu handbag na chupi nasikia ziko swahili Kwa wachina ni jengo gan paleSunderland anashusha sana jezi pia Ata tenda ya kuuza jezi za Simba na Yanga ipo chini yake
Ndiyo maaa nikaomba unipeleke maana hapo pa aftatu mkuu ndo sipajui[emoji1787]Unamjua hadi victor muuza magauni maana ake upo kariakoo
Wauzaji wa hands bags wapo wengi sana mfano Kuna mchina yupo mskiti wa makonde kule wengine wapo mtaa Congo na mchikichiMkuu handbag na chupi nasikia ziko swahili Kwa wachina ni jengo gan pale
Hao wachina. Naweza Kujua jengo lipii wapo achilia Kongo na agrey. Mm natka Hao wachinaWauzaji wa hands bags wapo wengi sana mfano Kuna mchina yupo mskiti wa makonde kule wengine wapo mtaa Congo na mchikichi
Sizani kama Kuna mchina anasusha kariakoo wachina kweny nguo sijawaona kabisa Nguo wanaoshusha wengi ni wabongo
Uyu aliyekwambia anapajua ndio muombe Ata akua anazungumzia wale wauza nyasi wenye taiti hadi za 12000 Kwa dozenNdiyo maaa nikaomba unipeleke maana hapo pa aftatu mkuu ndo sipajui[emoji1787]
Manake hapo kwanza Nchekeh 😂Ndiyo maaa nikaomba unipeleke maana hapo pa aftatu mkuu ndo sipajui[emoji1787]
Chupi za bei rahisi dozen huwa inauzwaje na mtaa upiUyu aliyekwambia anapajua ndio muombe Ata akua anazungumzia wale wauza nyasi wenye taiti hadi za 12000 Kwa dozen
okWapo ila unachukua contena zima siyo carton
Ngoja nikutumie namb ya anafanya kazi Kwa mchina wa makonde utamchekiHao wachina. Naweza Kujua jengo lipii wapo achilia Kongo na agrey. Mm natka Hao wachina
OkeNgoja nikutumie namb ya anafanya kazi Kwa mchina wa makonde utamcheki
achana naye uyo anazungumzia kweny minyasi kule utakuja gombana na wateja wako 3000 dozen si nyasi izo anaonge vitu ambavyo Hana Ata uzoefu navyo kwanza kakimbiaManake hapo kwanza Nchekeh [emoji23]