Ofa ya Connection ya Wachina wanaoshusha Mizigo ya jumla Kariakoo

Hivi kama umeambiwa unapewa connection na mchina,means unakutanishwa nae.... Na kukutanishwa ni lazima kwenda dsm,utaenda mpaka dukani au store...utaona bidhaa...utachagua, utalipia utapewa risit na mzigo hapo hapo utapeli utakujaje???

Na ukisha fanya nao kazi na kuwaona sio wasumbufu utakuwa unatuma hela na kutumika mzigo uliko kupitia transport za kwenu....... Hivi ndivyo tunavyo fanya kwenye bidhaa zingine

Na pia wanakuwa na group za wateja wao, Kazi mpya zikifika mnatumiwa .... Pokeeni connection au hamzoea kizuri kula na wenzako?
 
Achana nao nishafunga OFA Tayari watu mda wote wanawaza kuibiwa kama uyo HIRMARS ana matatizo sana sio Bure
 
Wakuu nataka connection ya car accessories kwa bei ya jumla kwenye hiyo mizigo wanayoshusha wachina
 
Wachina wasivyotakaga usumbufu sasa hayaa
 

Safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…