Ofa ya Connection ya Wachina wanaoshusha Mizigo ya jumla Kariakoo

Ofa ya Connection ya Wachina wanaoshusha Mizigo ya jumla Kariakoo

Ningependa kufahamu connection ya vifaa na material za stationery kama vile notebooks, counterbooks, pen

Pia phone accessories kama earphones za bei rahisi, viswaswadu, screen protectors, phone covers, battery, Memory card, flash disk, charger, usb wires n.k
hii nicheck 255784705349 niko aggey na kama unaweza fika pia itakuwa jambo muhimu ujipatie uhakika vifaa vya simu vyote na vioo kama kuna chimbo unahitaji utaoneshwa pia
 
Hivi kama umeambiwa unapewa connection na mchina,means unakutanishwa nae.... Na kukutanishwa ni lazima kwenda dsm,utaenda mpaka dukani au store...utaona bidhaa...utachagua, utalipia utapewa risit na mzigo hapo hapo utapeli utakujaje?...
Ewaaa hizi kazi zetu uaminifu ni mkubwa na ili mteja akuamini inakubidi ufanye jambo hili la jmdau alilofanya ili mteja awe na uhakika na usalama wa fedha yake kwamba anafanya kitu na mtu anayemwaini.
 
+yuituyy4t6t5yuy4uyrfyiuand it6r5to5uu ti5i
Kwa waliopo Dodoma, Dar na maeneo mengine ya Tanzania na toa OFA ya mwenzi mmoja ya kuwaunganisha na Wachina wanaoshusha na kuuza mzigo wa bei ya jumla kariakoo kwenye bidhaa zifwatazo.

Kampuni za kichina zinazoshusha hands bags mfano hands bags zote za suzens, wahha, botiouqe, LV Kwa anayehitaji kufungua duka la hands bags na hajui wapi atapata mzigo wa bei ya jumla wa hands bags Kwa bei ya kitonga anicheki au pia kama kuna mfanyabiashara anahangaika wapi atapata kununua hands bags za bei ya chini kariakoo anicheki nitamunganisha na wachina wanaoshusha hands bags za jumla kuhusu bei za hands bags zipo hands bags za 4500 na kuendelea.

Kampuni za vifaa vya electronics mfano radio, Tv, na fridge n.k kwaanayehangaika na kujiuliza wapi nitapata mzigo wa bei nafuu kwenye bidhaa za electronic basi anicheki nitamunganisha na kampuni ya solar max, kampuni ya ailyons, kampuni ya hisence, kampuni ya Mr uk, kampuni ya aboader, kampuni ya Good vision, kampuni ya star x kama unahitaji Tv nch 17 hadi 75 Kwa bei za kitonga nicheki nitamunganisha na wachina wanauza bei za jumla kuhusu bei Kuna Tv nch 32 unapata hadi Kwa 195000

Wachina wanaoshusha Nguo za ndani za kike mfano taiti za aina zote mfano bana tumbo, normal Kwa anayehitaji kupata wachina wanaoshusha mzigo wa jumla kweny hizi bidhaa atanicheki niweze kumunganisha na wachina
Wachina wanaoshusha Neti mfano Neti zote za chuma na duara Kwa mtu yoyote anayehitaji kupata connection ya wachina wanaouza Neti Kwa bei za jumla anicheki nina connection na wachina wa luck Neti na baadhi ya kampuni bei za Neti zipo 14000,16000 n.k

Wachina wanaoshusha begi za migongogoni, Kwa wafanyabiashara wanaohitaji Kujua wapi watapata begi za migongoni Kwa bei nafuu ila hawajuiajui wapi watapata anicheki nitamunganisha na wachina wanaouza begi za kampuni ya ponaso, Marcelo n.k

Wanaoshusha jeans na kadeti, Kwa wale wanaohitaji kupata connection ya wanaoshusha jeans na kadeti Kwa bei ya jumla kariakoo wanicheki nitamunganisha na wauzaji wa bei za jumla.

Wanaoshushaha Gauni za Nairobi na KICHINA, Kwa wale wanaohitaji connection za wanaouza na kushusha Gauni za bei ya jumla kutoka china na Nairobi watanitafuta niwaunganishe na wachina wanaouza bei kitonga.

Connection za wachina wa flat shoes Kwa wale wanaohitaji kupata connection za wachina wanao shusha viatu vya jumla pia nitamunganisha na mchina wa excellent na wengineo.

NB: Connection za hawa wachina wote ni za wale wanaouza mzigo Kwa bei ya jumla na ndio hawa wanaowauzia wafanyabiashara wengine Na ofa hii natoa ndani ya mwezi mmoja tu Kwa mda huu nipo Dodoma kwahyo kama upo dodoma na sehemu zingine unahitaji connection nicheki hizo picha ni baadhi ya sample tu

View attachment 2546069View attachment 2546071View attachment 2546073View attachment 2546074View attachment 2546075
Gyros r tti6ui5i8u7ihouuti5tyyiyr3if553fuy63iiu4rtryk5iriru468rhy g5ccfvyiyi
 
Acha roho mbaya. Roho mbaya ndio chanzo cha umasikini. Wewe unataka asitoe ili iwaje sasa kwamba watu wote wakose au?! Acha kuendekeza roho mbaya.
Internet unatumia bure?? Au hujui wamezuia ndoto ngapi kwa kutoza?? Je biblia ni bure?? Quran inatolewa bure?? Acha ushoga mdogo wangu
 
Acha roho mbaya. Roho mbaya ndio chanzo cha umasikini. Wewe unataka asitoe ili iwaje sasa kwamba watu wote wakose au?! Acha kuendekeza roho mbaya.
Kila kitu kinaenda Kwa hatua najua nacho kifanya itakuja hatua ya pili hiyo Haina free iyo ndio best zaidi
 
karibuni dollrubii_decors

SIsi ni wauzaji wa HomeDecors kwa bei nafuu zaidi kuliko wote karibu ujione.
KWA MAHITAJI YA
♦️PAZIA
♦️ MAUA NA MAPAMBO YA NDANI
♦️FURNITURE
♦️KITCHENWARE
TUNATUMA MIKOA YOTE🇹🇿
WHTAP|📞 0699306065
KARIBUNI SANA. FREE DELIVERY DAR

INSTAGRAM @dollrubii_decors
 
Wanaohitaji Kununua simu bei za jumla karibuni.
Simu Mpya tu sio USED please!
0699306065 napatikana Dar es salaam Posta samora.
SAMSUNG
IPHONES
Nasisitiza mpya sina refurb
 
Back
Top Bottom