Ofa ya kiwanja kwa atakayenisaidia kujiunga na Polisi

nashukuru kwa kunielewa ndugu yangu....mambo yapo hivyo kazi ya mtu haiendani na tabia kuna mijitu ni mikatiri na inafanya biashara ya mamantilie
 
nashukuru ila namuomba Mungu dua yako isinipate...nimelelewa ndani ya jeshi la polisi...kiujumla jeshi la polisi limenilea limenisomesha...hadi leo nahanaika kulitafuta naijua thamani yake lakini ndio hivyo bahati sina
 
ndio ninayo leseni ya udereva...ninacho cheti cha udereva pamoja na vyeti vya sekondari kwa umri nina miaka 26...
 
nashukuru ila namuomba Mungu dua yako isinipate...nimelelewa ndani ya jeshi la polisi...kiujumla jeshi la polisi limenilea limenisomesha...hadi leo nahanaika kulitafuta naijua thamani yake lakini ndio hivyo bahati sina
Naishi ndani ya Tanzania na nimewahi kufanya kazi ya bodaboda na kazi nyinginyingi tofautitofauti, hivyo usiwapambe polisi wakati nina uzoefu nao.
 
Naishi ndani ya Tanzania na nimewahi kufanya kazi ya bodaboda na kazi nyinginyingi tofautitofauti, hivyo usiwapambe polisi wakati nina uzoefu nao.
inawezekana ndugu yangu kwani hakuna boda boda wenye tabia ovu...? kwahiyo unataka kuniambia boda boda wote ni waovu ukiwemo wewe...?
 
walikukosea nini polisi
 
Pole sana kijana mwenzangu mungu akutie nguvu,azima yako iweze kutimia......izi nafasi naona kama watatoana roho sana,kwani yapata miaka 3 hadi 4 hakuna depo iliyoenda uko kipindi icho,so hapo naona zile kamati za ulinzi na usalama za wilaya na mikoa zikiwekana bila kushurutishwa
 
asante ndugu yangu....kwakweli tunaopata shida nini sisi tu ambao hatuna ndugu wa kutushika mkono...ila tutafika tu
 
Unapenda kazi hiyo kutoka rohoni au unaitamani?
naipenda sana...kiongozi tatizo bahati...ningekuwa sijaipenda ningeshaachana nayo...ila bado najipa moyo kuwa ipo siku tu nitakutana nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…