X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
- Thread starter
-
- #61
nisaidie kama unapo pa kuanzia...maji yamezidi ungandio maajabu ya kumsimanga jamaa wa kiwanja bila kujua ataanza na shingapi.
wapo wanaoanza kazi na 400k,480k,560k na 940k na cheo ni kimoja yaani cha chini kabisa.
nisaidie kama unapo pa kuanzia...maji yamezidi unga
sifa moja tu sina....jkt...dah....nimekwama mimi nimekwama sananjia ni ngumu mkuu maana sifa ainishwa ni zile pale kwenye fomu.
kama unazo zote basi una nafasi kubwa sana,cha msingi kaandike maombi
na huu ndio mwaka wa mwisho kwakweli kama sito pata...basi nitawekeza kwenye mambo mengine japo akili yangu haitokaa iamini kuwa nimeshindwa kupata nafasiPole kiongozi
Ila nakukumbusha tu kwenye cv yako hiyo ya utafutaji kazi polisi weka miaka 13
Maana huu ni mwezi wa 8 mwaka ni kama umeshaisha
sijui anapatikana wapi...roho imeniuma hadi imezoea...
Kitu kimoja kikishindikanana huu ndio mwaka wa mwisho kwakweli kama sito pata...basi nitawekeza kwenye mambo mengine japo akili yangu haitokaa iamini kuwa nimeshindwa kupata nafasi
kweli ndugu yanguKitu kimoja kikishindikana
Unaacha unafanya kingine
Akili yako mbaya au nzuri? Maana jeshi la polisi ili ujiunge nalo unatakiwa uwe kichwani kuna zero na ukatili...kwa mara nyingine nakuja kwenu ndugu zangu, ndugu yenu nimehangaika sana kutafuta nafasi kwenye majeshi yetu bila mafanikio, kiukweli nina nia ya dhati kabisa ya kulitumikia taifa letu, nimehangaika kutafuta nafasi jkt miaka 8 mfululizo bila mafanikio, nimehangaika kutafuta nafasi za polisi zaidi ya miaka 12 sijawahi kufanikiwa.
najua humu ndani kuna watu wa aina tofautu tofauti, lengo langu ni kujiunga na jeshi la polisi hivyo kama kuna mtu humu ndani anao uwezo wa kunisaidia nikasajiliwa ndani ya jeshi la polisi...nitampa zawadi ya kiwanja, kiwanja hicho ni mari yangu kabisa, ni kikubwa 70*35....ni matumaini yanu maombi yanu yatamfikia mlengwa...View attachment 1898297
Hutaki kukaa na wakuu?bado sijauhitaji uIGP ndugu yangu nataka nianzie chini kabisa...ila kipo kitunda....hapo darisalama
ndio hivyo...ndugu yanguIla maisha kiukweli hayapo fair kuna mtu anasota kupata kazi na yupo tayari kabisa hadi kutoa kiwanja na kuna bwana mdogo yeye hataki kabisa kusikia habari hiyo.
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
sio kweli...hiyo consipration yako naikataa.watu waliovurugwa wapo kila sehemu....hadi madokta wapo walio vurugwa...Akili yako mbaya au nzuri? Maana jeshi la polisi ili ujiunge nalo unatakiwa uwe kichwani kuna zero na ukatili...
250K??? Una matatizo kichwani...Kuanzia Tsh 250,000 - 1,600,000 kwa mwezi
Ni zawadi au donge noono...Ukianza kuomba na ukiwa na umri wa miaka 18 ndani ya miaka 12 inamaana una 30 sasa hivi
Polisi mwisho miaka 26 kama hujafika degree, kama una degree na masters ni 28
USHAURI: Uza kiwanja fungua kampuni ya ulinzi chukua wanamgambo waajiri. Wewe utakuwa mkurugenzi
MWISHO: unachokifanya ni RUSHWA mpaka hapo umejitoa ktk vigezo vya kuwa polisi
Ni zawadi au donge noono...
Usisahau polisi pia huwa wana tumia hizi njia kokote kule duniani...
Mtu ana tafutwa atakaye wezesha upatikanaji wake atapewa donge nono au zawadi...
Ktk siasa kipindi cha kampeni tuliita takrima