Ofa ya kiwanja kwa atakayenisaidia kujiunga na Polisi

Sio kweli unajaribu kuhalalisha RUSHWA.
Kinachotolewa na polisi kwa raia ili kukamata mtu inaitwa BOUNTY (motisha) na hii sio rushwa
Kwa hiyo jamaa kutoa motisha au zawadi imegeuka rushwa?
 
Una cheti Cha jkt!? Una umri gan n elimu gani!? Njoo box kuna mtu anaweza ninamjua kabisa mkuu
nina miaka 26, sijawahi kujiunga na jkt hivyo sina cheti...elimu yangu ni kidato cha nne labda na ujuzi wa kuendesha gari though ninayo leseni ya udereva....{teyari nimesha kutumia inbox ikikupendeza naomba unisaidie }
 
Mkuu hata ukiuukosa upolice,wwe jitolee kua police Jamii,ukiona matukio ya kihalifu popote pale ya report haraka sana kwenye mamlaka husika,au ukikuta mtu anashida ya kitu flani msaidie Kama utakua kwenye nafasi ya kumsaidia!!
 
Mkuu hata ukiuukosa upolice,wwe jitolee kua police Jamii,ukiona matukio ya kihalifu popote pale ya report haraka sana kwenye mamlaka husika,au ukikuta mtu anashida ya kitu flani msaidie Kama utakua kwenye nafasi ya kumsaidia!!
asante...nitalifanyia kazi wazo lako
 
Prince Mhando,binafsi sihitaji zawadi yako wala Pesa yako,wala chochote kutoka kwako,nitajitahidi kukusaidia for free,naomba njoo PM
 
Duuh sorry,nimeona umesema huna Cheti cha JKT!!!hapo changamoto ndugu yangu,ungekuwa nacho ningekushika mkono mpaka kwa CP (Commissioner of Police)mmoja Makao Makuu,akiandika ki-MEMO tu shughuli inaisha
 
Asilimia 99% polisi hawana viwanja. Sasa wewe polisi ambaye bado upo mtaani tayari unagawa kiwanja ufanane na wenzio waliopo kazini.

Kwa hiyo akili tu KWELI UNAFAA KUWA POLISI
inawezekana....!
 
Matanga mbushi alisaidia Kijiji kizima kikawa Kijiji cha polisi
 
Kila mtu anayo nafas yake Mungu aliyo mpangia wapo watu sahiv ni polisi lakini haikuwahi kuwa ndoto yao kuwa polisi na pengine waliichukia hiyo kaz pindi wakiwa wanasoma lakin Leo hii ni polis na wanaipenda kaz yao
Ikiwa ww utakosa bas usikate tamaa pengine Mungu hajapenda wewe uwe katika nafas hiyo na amekuandalia nafas nyingine na utaifurahia pia
 
Khee!![emoji1][emoji1]
 
Matanga mbushi alisaidia Kijiji kizima kikawa Kijiji cha polisi
kumbe unamfahamu...kuna mtu alinihadithia mwaka fulani aliingiza depo nzima askari wa darasa la saba...dah kiukweli sikuwa namfaham sikuwahi kumuona ila niliwahi kuwasiliana nae enzi za uhai wake...siku nilio wasiliana nae nilijua kuwa hapa nawasiliana na mtu mwenye ubinaadam...na alinipa ahadi kuwa atahakikisha mwakani 2015....ananisajiri jeshini...miaka kadhaa baadae nikasikia amefariki...kwakweli nilihudhunika sana na bado nina hudhuni kubwa kwaajili yake...mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi Matanga Mbushi
 
ile sio ajira ni uzalendo...hiyo ni kama posho na si mshahala...wewe umeona wapi mtu akalilia kukimbizana na risasi mtaani...huko ni kujitoa kufa kupona kaka
 
asante sana ndugu yako maneno yako yamenipa nguvu....kiukweli hii ndio deadline yangu nikikosa mwaka huu...basi nitafanya mambo mengine tu.
 
Matanga mbushi Kijijini kwao kasaidia familia nyingi nafkiri kila nyumba ina mtoto polisi naskia ye ndo alikua mkuu wa chuo lakin ukizingua kwenye mafunzo anakufukuza ila miaka mingine mbele anakurudishia ccp na badae unakua polis nilipata stori zake kasaidia watu wengi Sana ambao wengine hata yeye alikua hawakumbuki
Alivyofariki msiba wake ulikua wa Kijiji kizima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…