Ahahhahaha!!linyimbo libayaaaa mpaka video,akacheze mpira tu kwa kweli mziki awaachie vijana
Nafikiri kiba sasa atajirekebisha.Kiba ndo ajifunze ajitahidi kutoa audio pamoja Na video nilkuwa siuelewi huu wimbo lakini baada ya video nimeuelewa amejitahidi.
Hapana aisee... Labda kama hujaitazama vizuri. Its the best.
Wewe umeona tatizo ni nini ktk video hiyo. tusibwabwaje tu ..Hakunaga kitu kama hicho wewe,hongera kwa kuupa promo lakini hakuna jipya,bora hata ya video ya SUBIRA ya Cassim Mganga
Kwa kiherehere tu hamjambo
Wewe umeona tatizo ni nini ktk video hiyo. tusibwabwaje tu ..
Mbaya rangi,mbaya kila kitu,mbayaaaaaaaa
Yaan me pia nashangaa wanaousifia me nimeucheki mara 5 kupitia cmu na pc cjaona uzuri wake ile rangi ni mbaya kiukweli kitu mpauko
Shangaa na wewe!bora hata ya SUBIRA ya Cassim Mganga
Em niitafute hii ya kassim kwanza,, maana waipigia chapuo.
Tatizo la rangi si lao ktk video hiyo ni la production. Yes its a bit pale..foggy
#Nagharamia ,video nzuri sana acheni hizo.
Mliotaka inga'e kwani ni kitumbua?
Ali Kiba hongera zako,na masauti yenu mmeua.
Ila pale kwenye kochi nimepapenda sana.....
Heheheheee
Mmmmhhhh......Kiukweli mbayaaaaaaaaaaaaaaa!!!
SUBIRA ya Kassim iko poa sana
Ahahhahaha!!linyimbo libayaaaa mpaka video,akacheze mpira tu kwa kweli mziki awaachie vijana
Aongeze bidiii
Kila la kheri🙏
Ila sauti nzuri anayo labda akaimbe kwaya
Masauti kaharibu radha ya WIMBO. Video ameipanga vizuri tatizo mchanganya rangi amefanya vibaya sana. Hii huenda ikaathiri ubora wake kwenye TV za nje. Amejitahidi kiasi Chake. Tatizo ninaloliona kwa members wengi ni kumlinganisha na Mondi.