Official Video: Nagharamia - Pongezi kwa Ali Kiba

Official Video: Nagharamia - Pongezi kwa Ali Kiba

Kiba ndo ajifunze ajitahidi kutoa audio pamoja Na video nilkuwa siuelewi huu wimbo lakini baada ya video nimeuelewa amejitahidi.
 
Kiba ndo ajifunze ajitahidi kutoa audio pamoja Na video nilkuwa siuelewi huu wimbo lakini baada ya video nimeuelewa amejitahidi.
Nafikiri kiba sasa atajirekebisha.
 
Hapana aisee... Labda kama hujaitazama vizuri. Its the best.

Hakunaga kitu kama hicho wewe,hongera kwa kuupa promo lakini hakuna jipya,bora hata ya video ya SUBIRA ya Cassim Mganga

Kwa kiherehere tu hamjambo
 
Hakunaga kitu kama hicho wewe,hongera kwa kuupa promo lakini hakuna jipya,bora hata ya video ya SUBIRA ya Cassim Mganga

Kwa kiherehere tu hamjambo
Wewe umeona tatizo ni nini ktk video hiyo. tusibwabwaje tu ..
 
Video nimeicheki ipo kikawaida sana, ukiyaleta madude yaliyotoka sasa hivi ndio utanielewa nazungumzia nini.
 
Shangaa na wewe!bora hata ya SUBIRA ya Cassim Mganga

Em niitafute hii ya kassim kwanza,, maana waipigia chapuo.

Tatizo la rangi si lao ktk video hiyo ni la production. Yes its a bit pale..foggy
 
Em niitafute hii ya kassim kwanza,, maana waipigia chapuo.

Tatizo la rangi si lao ktk video hiyo ni la production. Yes its a bit pale..foggy

Kiukweli mbayaaaaaaaaaaaaaaa!!!

SUBIRA ya Kassim iko poa sana
 
#Nagharamia ,video nzuri sana acheni hizo.
Mliotaka inga'e kwani ni kitumbua?
Ali Kiba hongera zako,na masauti yenu mmeua.
Ila pale kwenye kochi nimepapenda sana.....
Heheheheee

Me ni team mond ila kwa hii kibakuli kajitahid kias chake sio kama zile za mwanzo sema aongeze juhudi
 
Masauti kaharibu radha ya WIMBO. Video ameipanga vizuri tatizo mchanganya rangi amefanya vibaya sana. Hii huenda ikaathiri ubora wake kwenye TV za nje. Amejitahidi kiasi Chake. Tatizo ninaloliona kwa members wengi ni kumlinganisha na Mondi.
 
Hii kitu inamgharimu sana Kiba yani Hata afanyeje lazima alinganishwe Na Mond Na tatizo Mond yuko mbali,lakini aliyataka alivyorudi kwenye game asingrrudi na jina la Mond mdomoni,sasa yani kila anachofanya lazima alinganishwe video ni nzuri sema watu wanalingnisha na kazi za Mond cha msingi ajitahidi atafika tu na asikubali kupelekeshwa na mashabiki afanye kazi kwa uwezo Wake na mipangilio yake.
 
Back
Top Bottom