We umeanza kufuatilia mziki liniHii kitu inamgharimu sana Kiba yani Hata afanyeje lazima alinganishwe Na Mond Na tatizo Mond yuko mbali,lakini aliyataka alivyorudi kwenye game asingrrudi na jina la Mond mdomoni,sasa yani kila anachofanya lazima alinganishwe video ni nzuri sema watu wanalingnisha na kazi za Mond cha msingi ajitahidi atafika tu na asikubali kupelekeshwa na mashabiki afanye kazi kwa uwezo Wake na mipangilio yake.
Kimbley Evelyn Salt mtakuwa wachawi mkizeeka nyinyi haya pokeeni wenzetu wanakuja
Mbaya rangi,mbaya kila kitu,mbayaaaaaaaa
Yaan me pia nashangaa wanaousifia me nimeucheki mara 5 kupitia cmu na pc cjaona uzuri wake ile rangi ni mbaya kiukweli kitu mpauko
Kimbley Evelyn Salt mtakuwa wachawi mkizeeka nyinyi haya pokeeni wenzetu wanakuja
Hujaangalia video kumbe weweSio uchawi pwilo!!!mnavyomchekea na kumpa sifa za uwongo ndio mnamuua kimziki,angalia sisi team jinsi tulivyo....tumemlazimisha nyimbo yake ya #utanipenda aweke maneno ya kiingereza na kweli ameyaweka!nyie kinawashinda nini kumpa makavu KIBA?
Legendary kama kiba na hivi video anavyovitoa ni aibu!!utadhani ni video ya KISS FLEVA bwana?!
Video haijaandikwa imefanywa wapi wala details zozote zile huko Youtube,kaangalie nyimbo za MONDY youtube uone anavyosimulia history ya nyimbo husika mpaka unapenda!!
Haijulikani producer nani wala Director wa Nyimbo
Ovyoooooo!!!
Mbona me nimeuona mbovu sana
Pwilo bwana!nani ameshoot hiyo video namaanisha director?!labda hujui ni wapi unaweza fungua ukapata hizo data huko youtube maana unhekua unajua ungenielewa!Hujaangalia video kumbe wewe
Ahahahaha!!!kwaya yenyewe labda ya KKKT jimbo la Rulenge Ngara kagera huko ila sio hapa Mjini
We umeanza kufuatilia mziki lini
Naona unaongea porojo tu hapa