Official Video: Nagharamia - Pongezi kwa Ali Kiba

Official Video: Nagharamia - Pongezi kwa Ali Kiba

Hii kitu inamgharimu sana Kiba yani Hata afanyeje lazima alinganishwe Na Mond Na tatizo Mond yuko mbali,lakini aliyataka alivyorudi kwenye game asingrrudi na jina la Mond mdomoni,sasa yani kila anachofanya lazima alinganishwe video ni nzuri sema watu wanalingnisha na kazi za Mond cha msingi ajitahidi atafika tu na asikubali kupelekeshwa na mashabiki afanye kazi kwa uwezo Wake na mipangilio yake.
We umeanza kufuatilia mziki lini
Naona unaongea porojo tu hapa
 
Kimbley Evelyn Salt mtakuwa wachawi mkizeeka nyinyi haya pokeeni wenzetu wanakuja

Sio uchawi pwilo!!!mnavyomchekea na kumpa sifa za uwongo ndio mnamuua kimziki,angalia sisi team jinsi tulivyo....tumemlazimisha nyimbo yake ya #utanipenda aweke maneno ya kiingereza na kweli ameyaweka!nyie kinawashinda nini kumpa makavu KIBA?

Legendary kama kiba na hivi video anavyovitoa ni aibu!!utadhani ni video ya KISS FLEVA bwana?!

Video haijaandikwa imefanywa wapi wala details zozote zile huko Youtube,kaangalie nyimbo za MONDY youtube uone anavyosimulia history ya nyimbo husika mpaka unapenda!!

Haijulikani producer nani wala Director wa Nyimbo
Ovyoooooo!!!
 
Last edited by a moderator:
awesome awesome awesome,,,,,,,!!!!!!!! nzuri mnooo.. sasa na wimbo huu nimeuona mzuri mara dufu. Honngera kwao.

Kajitahidi... kiasi cha haja
 
Kwani kila anachofanya Ali kiba lazima mlinganishe na diamond,?
Hawa wako level tofauti
 
Sio uchawi pwilo!!!mnavyomchekea na kumpa sifa za uwongo ndio mnamuua kimziki,angalia sisi team jinsi tulivyo....tumemlazimisha nyimbo yake ya #utanipenda aweke maneno ya kiingereza na kweli ameyaweka!nyie kinawashinda nini kumpa makavu KIBA?

Legendary kama kiba na hivi video anavyovitoa ni aibu!!utadhani ni video ya KISS FLEVA bwana?!

Video haijaandikwa imefanywa wapi wala details zozote zile huko Youtube,kaangalie nyimbo za MONDY youtube uone anavyosimulia history ya nyimbo husika mpaka unapenda!!

Haijulikani producer nani wala Director wa Nyimbo
Ovyoooooo!!!
Hujaangalia video kumbe wewe
 
Hujaangalia video kumbe wewe
Pwilo bwana!nani ameshoot hiyo video namaanisha director?!labda hujui ni wapi unaweza fungua ukapata hizo data huko youtube maana unhekua unajua ungenielewa!

Bonyeza kulia kwenye kimshale kidogo kinachoangalia juu itakupeleka kwenye maelezo yote ya wimbo husika,umetolewa lini na kadhalika.

Haina maelezo ya kueleweka bwana ile nyimbo tuseme tu ukweli pwilo,kusema ukweli sio dhambi
 
Rangi mbaya kiukweli inafanya wahusika wasionekane poa bt vitu vingine viko poa nafkir ameimprove kias chake... Pale restaurant pamenifurahisha
 
Hujaangalia video kumbe wewe

Namaanisha hapa kama hujanielewa pwilo 1450605135830.jpg Umeona Mapungufu hayo?
 
Attachments

  • 1450605151250.jpg
    1450605151250.jpg
    53.2 KB · Views: 185
Last edited by a moderator:
We umeanza kufuatilia mziki lini
Naona unaongea porojo tu hapa

We nae kwani kufuatilia mziki mpaka uwe unaandika andika humu jf manake hutaki huyo Kiba wako akosolewe au apewe ukweli hata kidogo maana unamsujudia utafikiri ndiye aliyekuumba Na watu Kama nyie ndiyo mnaompoteza huyo King wenu.
 
kajitahidi kwa kweli,hongera kiba ukumbuke mara chache sana natoaga sifa
 
Back
Top Bottom