OfficialLynn: Siwezi ku-date na mwanaume asiye na hela

Kubadilika inawezekana mfano mzuri ni gladness Kifaluka ambaye ni muigizaji wa kichekesho alikuwa Kama official Lynn sasa hivi ana kampuni yake ya gladness Kifaluka entertainment ameajili watu wengi ambayo inarusha vichekesho vyake maisha magic bongo ya DStv na pia amekuwa ambassador wa baadhi ya makapuni ya hapa bongo.
 
So unampa ushauri gani mwanamke mwenzako?
Afate moyo wake anachoona kinafaa, ila ajue tu kwamba pesa siyo kila kitu kwenye mapenzi, unaweza kuwa na mwenye pesa ila hamna mapenzi ukaishia kuumia tuu, afu pesa zinatafutwa asipende ready made tu kuwa liability,awe chachu ya mwanaume wake kupata pesa kwa kumpa ushauri on how to make it,nk.
 
Umempa ushauri mzuri mwanamke wa aina yako ndo wanastahili kuolewa.Wanawake sio wote wa ovyo Kuna wengine ni smart Sana kichwani ni kuambie ukweli mwanaume ambaye amejenga uhusiano wa kimapenzi na wewe ana bahati kubwa Sana.
 
Safiii
 
umeshaolewa?..kama bado mwambie huyo jamaa nitakuja kumchapa vibao
 
Namuunga mkono mimi mwenyewe nilivyo majalala nashangaaga sana wadada wanaokubali ku date na mimi, maana hata mimi mwenyewe nikiambiwa ni date na mimi nitagoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…