Kibwebwe
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 826
- 261
yawezekana mkuuHuyo sio feki ndugu kwani kuna maafisa usalama hadi vichaa tunao mitaani hapo Kova amebugi meen ua kuna siri imejificha nyuma ya pazia. Isije ikawa ni mbinu ambapo huyu anaweza kutimika kuwadhuru mahabusu wa kisiasa hususani CDM watakapowekwa rumande na lengo lao la kuwauwa liwe limetimia kabla ya 2015