Ofisa usalama 'feki' anaswa

Ofisa usalama 'feki' anaswa

Huyo sio feki ndugu kwani kuna maafisa usalama hadi vichaa tunao mitaani hapo Kova amebugi meen ua kuna siri imejificha nyuma ya pazia. Isije ikawa ni mbinu ambapo huyu anaweza kutimika kuwadhuru mahabusu wa kisiasa hususani CDM watakapowekwa rumande na lengo lao la kuwauwa liwe limetimia kabla ya 2015
yawezekana mkuu
 
Mtuhumiwa anajiyefanya Afisa wa Usalama wa Taifa Alquine Michael Masubo (42) mkazi wa Yombo Buza, ambaye alikamatwa na bastola mbili BROWNING namba A. 956188-CZ83 ikiwa na risasi 12 na MAKNOV namba BA 4799 ikiwa na risasi 19 na kitabu mmiliki wa bastola chenye namba CAR 00071678 chenye jina la P.1827 LT COL Mohammedi H. Ambari

attachment.php

Afisa usalama Feki awe na bastola mbili na nyaraka za ikulu???????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
HIYO GARI SIPANDI NA WALA SIKUBALIANI NAYO KAMA MDAU ALIVYO SEMA NI NJIA NYINGINE YA KUFUNGWA KWA MASILAHI YA CCM NA MKIANGALIA ATAHAMISHWA MAGEREZA ZOTE NCHINI BAADAE ATAACHIWA HURU
 
Huyo sio feki ndugu kwani kuna maafisa usalama hadi vichaa tunao mitaani hapo Kova amebugi meen ua kuna siri imejificha nyuma ya pazia. Isije ikawa ni mbinu ambapo huyu anaweza kutimika kuwadhuru mahabusu wa kisiasa hususani CDM watakapowekwa rumande na lengo lao la kuwauwa liwe limetimia kabla ya 2015

braza umefikiria mbali sana, nami naungana na mawazo yako!
 
Mpaka siku Rubani feki aangushe ndege ndo tutaelewa ukubwa wa hili tatizo Tanzania.
 
Tunaweza ambiwa huyu jamaa ni Mnyarwanda au Mkenya Kova huwa simwamini
 
Hii age kati ya 40 na 42 ukifuatilia matukio mengi ya kushangaza utakuta wenye umri huo walianza vituko muda mrefu sasa mf.Mwaka 1990 kuna kijana mmoja akiwa kidato cha pili alichukua fomu za kuwania urais kupitia CCM(enzi hizo chama kimoja tu cha siasa)ambaye sasa kama yupo atakuwa na miaka 42.
Mwaka 1988 kuna vijana kutoka Zanzibar waliteka ndege ingawa hawakufanikiwa kutimiza lengo lao la kupelekwa Uingereza ambapo walijitoa ati wakafungwe huko then baadae waendelee na maisha yao!Hivi sasa mmoja wao ana umri wa miaka 42!Kuna jamaa mmoja namfahamu kwa jina moja Kolimba(alijipachika tu jina hili) kama yupo hai sasa atakuwa na miaka 42 aliwahi kwenda kuripoti shule moja Misungwi kama mwl mkuu muda mfupi tu baada ya kuacha masomo Bwiru boys akiwa kidato cha pili(jamaa alikuwa genius kwani alikuwa akifanya vyema sana masomo)Jamaa alipokelewa ila kabla hawajamshitukia akawapora akatoroka.
Huyu nae umri 43!Sijui vipi yule trafiki feki?unaweza kuna ni umri ni kati ya hiyo niliyotaja!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
wanafunzi wa IFM ,TUMAIN na UDSM pia CBE walishaingia sana mtegoni kwa kuchukuliwa na hii mijamaa
inajifanya usalama wa taifa,yanakodi rangerover na magari tofauti ya kifahari ya kuwachukua hawa warembo
wengine hujifanya eti kusikitika kama ndio waliomteka Ulimbhoka au Kibanda hivo kujifanya kujutia kitendo hicho mbele ya vimwana hao wa vyuoni na kuwala kiulaiiiinniiiiiiiiii sana.
wanafunzi hao huwaamini kwa vitambulisho feki wanavo onnyeshwa, kumbe ni majambazi na wauza unga
 
Huyu kaka alishAkuwa dereva tume ya kurekebisha sheria au nimemfananisha?
 
Yaani hii nchi kutoka kimaisha rahisi sana!
 
aha ahaaaha! Jana Kova alikua anaogopa mbaya yani Jamaa full ma confidence anaambiwa geuka wakuone jamaa linamdindia KOVA! Dah nchi ipo Gizani sasa naanza kuamini kwanini KAGAME anaweza maliza game kweupeee.....Yani maaskari hewa kibao je ata vituo wanavyopangiwa hua hawagongani? Huyu jamaa ni hatari kwa usalama wa Taifa inabid afatiliwe hadi mababu zake muone chanzo chake na sio kumfunga tu...Na TISS inabid wapewe mafunzo maalumu ya kutambuana
 
Mmekamata mmoja kati ya mamia kama si maelfu, pole nchi yangu Tanzania.
1. Juzi juzi amekamatwa trafick police feki.
2. Mara tumesikia kuna sajenti Mnyarwanda ndani ya JWTZ amekimbia kurudi kwao.
3. Leo tena tumesikia Hilo na bado mengi yanakuja tunasubiri tu.

Nchi hii ifike sasa wananchi tujilinde wenyewe kama Marekani, vyombo vyetu vya dola vipo likizo. Hata Rais Obama aliliona hilo akaja na watu wake lakini sisi hatulioni. Mpaka pale tarehe 4 siku mbili tu baada ya ziara ya Obama kuondoka nchini tukaona kituo ch akupita kilo 150 za Sembe pale JKNIA.
 
Mwisho wa dunia huu.. Kila mtu anatafuta pa kuweka maslah kabla hajalala
 
Back
Top Bottom