Ofisa wa benki avunjwa mkono na mtumishi ndani ya benki wilayani Kilindi

Samahani nje ya mada

Mkuu naomba nijue kwa uchache kuhusu kilimo cha nyama...
Kuanzia maandalizi mpaka uvunaji wake
Hatua ya kwanza ni kuandaa shamba hatua ya pili ni kulima hatua ya tatu ni kumwagilia hatua ya nne ni kuvuna baadae utaamua mwenyewe ukauze au utumie pamoja na ndugu zako
 
Suluhu ni ofisa wa benki kusamehe.Watu wamevurugwa mbaya-mbovu sababu ya uchumi duni.Mola amuepushe na kikombe hicho ndugu mwalimu.
Na wa-bank akianzisha ligi, naye kuna uwezekano akapoteza kazi, na muajiri wake kuajiri afisa mwingine. Kesi hupotezea watu muda, na wakati mwingine unaweza kupoteza muelekeo.
 
Hatua ya kwanza ni kuandaa shamba hatua ya pili ni kulima hatua ya tatu ni kumwagilia hatua ya nne ni kuvuna baadae utaamua mwenyewe ukauze au utumie pamoja na ndugu zako
Ebu elezea hatua kwa uchache jinsi gani naweza tengeneza tomato mkuu
 
Mwl kakosea kusema '..nikamvunja mkono...' angesema 'nilimgusa tu mkono'πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…