Alikuwa anatukana mitandaoni, kutukana ni kosa, ngoja anyooshwe
Sasa mbona humu kila siku mnanyooshwa halafu hamna cha kufanya.Alikuwa anatukana mitandaoni, kutukana ni kosa, ngoja anyooshwe
Yanapenda kweli kutumiwa na ccm haya majitu!Kosa la kupinga tozo kinyume na kifungu bee cha katiba.
we mpuuzi sanaAna matusi kama wewe, wahuni sehemu yao gerezani, bado wewe, inaonekana unawashwa ndogo
Safi sana, wakati mwingine lazima heshima iwepo mjiniTaarifa iliyotufikia hivi punde inasema kwamba Jonas Afumwisye meneja wa TRC aliyesimamishwa kazi kwa kupinga Tozo , AMEKAMATWA NA POLISI .
Wakili wa Meneja huyo Peter Kibatala , amedai kupigiwa simu na Mteja wake Ndugu Afumwisye na kuelezwa kwamba amefuatwa na Polisi nyumbani kwake ambao wametumwa kumkamata .
Chanzo : MwanaHalisi
Jana ni Mbowe , leo ni Afumwisye kesho ni wewe .Safi sana, wakati mwingine lazima heshima iwepo mjini
Kumbuka sisiemu ni ile ile huwa inabadili rangi tu.Haya mambo yamerudi tena ?
Sasa mbona haipo ?!!! Hawa watawala hawatuheshimu sisi maboss wao tunaowalipa kwa kutumia our hard earned cash....,Safi sana, wakati mwingine lazima heshima iwepo mjini
Kwahiyo ukitukana viongozi wako uachwe tu?..huyu akanyee ndoo kwanzaHaya mambo yamerudi tena ?