Ofisa wa TRC aliyefukuzwa kazi kwa kukosoa tozo akamatwa na Jeshi la Polisi akiwa nyumbani kwake

Ofisa wa TRC aliyefukuzwa kazi kwa kukosoa tozo akamatwa na Jeshi la Polisi akiwa nyumbani kwake

Taarifa iliyotufikia hivi punde inasema kwamba Jonas Afumwisye meneja wa TRC aliyesimamishwa kazi kwa kupinga Tozo, AMEKAMATWA NA POLISI.

Wakili wa Meneja huyo Peter Kibatala, amedai kupigiwa simu na Mteja wake Ndugu Afumwisye na kuelezwa kwamba amefuatwa na Polisi nyumbani kwake ambao wametumwa kumkamata.

View attachment 2335762

Chanzo : MwanaHalisi
serikali za weusi sijui nani aliwadanganya hawapsi kukosolewa! Wanadhani kuna mtu anapenda Tozo ? No hata Bosi Samia na Coin master wake Mwigulu wenyewe hawazipendi maana zinawafanya uchaguzi ujao badala ya kunadi sera na mazuri itabidi watumie corrupts methods kushinda uchaguzi, hali ni mbaya mtaani watatudanganya na nini ? Vita ya Ukraine?
 
Hebu tuwe na subira basi. Maana kila mtu ataanza kuongea lake. Ninachoamini Polisi Tanzania ni sehemu salama. Kama kweli yupo au hayupo tutaelezwa.
Usalama upi unazungumzia je unaweza kumpeleka mwanao akakae hata kwa lisaa ndani ya zile maabusu nawewe ukiwa mzazi ukawa comfortable kabsa?
 
Back
Top Bottom