Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Huyu mama hapendi kukosolewa au ni chawa wanaotafuta ulaji? lakini alivyomjia juu yule pimbi Ndugai chochote kinawezekana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka ushahidi acha mihemkoMatusi mazito sana ya nguoni dhidi ya viongozi wetu, acha ahenye
Hayajawahi kuondoka ila watu walidhani yameisha watawala wa kiafrika ni shida sanaHaya mambo yamerudi tena ?
Kipigo heavy kinamsubiri akifa utasikia alikuwa na maleria ndiyo iliyomuuaLingine tumuombee asipotee
Maisha Yangu hayana ubia na kenge yoyote wa CCM! Cowards NDIO wanajificha kwenye kivuliKama aliyajua yote hayo, aache maisha ya kihuni na kipumbavu kama ya kwako
Tz inaongozwa na vibaka machokoTaarifa iliyotufikia hivi punde inasema kwamba Jonas Afumwisye meneja wa TRC aliyesimamishwa kazi kwa kupinga Tozo, AMEKAMATWA NA POLISI.
Wakili wa Meneja huyo Peter Kibatala, amedai kupigiwa simu na Mteja wake Ndugu Afumwisye na kuelezwa kwamba amefuatwa na Polisi nyumbani kwake ambao wametumwa kumkamata.
View attachment 2335762
Chanzo : MwanaHalisi
Kwakweli nchi hii ishaharibika hii ukipata mwanya we piga tu ukijifanya unakosoa imekula kwakoMeneja wa shirika la umma analalamikia tozo halafu unakuta hohehahe mtaani hana hata habari!
Watumishi wa umma kuleni tu kulingana na urefu wa kamba zenu huko ofisini wenyewe mkiwakosoa wanaita mmewatukana.
Meneja uza hata "kiberege" au piga mnada mataruma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tz inaongozwa na vibaka machoko
Tanzania napo kuna viongozi?Matusi mazito sana ya nguoni dhidi ya viongozi wetu, acha ahenye
Mashoga mmekuwa wengi sana siku hizi kwann mnapenda kutekenywa nyumaMimi ni mtu mzima na najiheshimu...siwezi weka matusi ya nguoni humu kwa mtandao
Taarifa iliyotufikia hivi punde inasema kwamba Jonas Afumwisye meneja wa TRC aliyesimamishwa kazi kwa kupinga Tozo, AMEKAMATWA NA POLISI.
Wakili wa Meneja huyo Peter Kibatala, amedai kupigiwa simu na Mteja wake Ndugu Afumwisye na kuelezwa kwamba amefuatwa na Polisi nyumbani kwake ambao wametumwa kumkamata.
View attachment 2335762
Chanzo : MwanaHalisi
Na kwa faida ya wengi pia, unaweza kutuwekea picha yake akiwa amekamatwa na polisi?!!!Kwa faida ya wengi unaweza kutuwekea hapa hayo matusi yake ?
Alikuwa anatukana mitandaoni, kutukana ni kosa, ngoja anyooshwe
Na kwa faida ya wengi pia, unaweza kutuwekea picha yake akiwa amekamatwa na polisi?!!!
Walikuwa wanasema mambo ya kuoneana yaliondoka na mwendazake.
Niliwai kwenda Pale TRC Aseeee kuna kakikundi flani kanapewa upendeleo Sana yaaan tena ni wasukuma. Ipo siku nitawalipua Kwa majina wakiongozwa na kadada flani ivi.Tumfundishe kadogosa kazi.
Moderator naomba kibali nianzishe UZI WA PICHA NA MATUKIO YA KADOGOSA NA TRC
Kwahiyo wewe unaamini tumeleta uongo ?Na kwa faida ya wengi pia, unaweza kutuwekea picha yake akiwa amekamatwa na polisi?!!!