Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
unaweza kutuwekea hayo matusi hapa ?Kwahiyo ukitukana viongozi wako uachwe tu?..huyu akanyee ndoo kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaweza kutuwekea hayo matusi hapa ?Kwahiyo ukitukana viongozi wako uachwe tu?..huyu akanyee ndoo kwanza
Pole sana mkuu. Haya maisha yana sarakasi sana saa nyingine mwenye nguvu mpishe apite maamuzi yatafanywa na Mungu peke yake.Kwa serikali hii ya chawasynthesis lazma muhuni atakomeshwa! Kwanza kavujisha barua aliotwangwa na boss. Hio situation ya hivyo ilinikutaga staki kukumbuka nilipigwa disclipinary comittee round 2 nikapangua accusations ila mwisho walitumia ubabe tu sababu VC alitaka nikomeshwe.
Mimi ni mtu mzima na najiheshimu...siwezi weka matusi ya nguoni humu kwa mtandaounaweza kutuwekea hayo matusi hapa ?
Asante mkuu usiombe hio situation ikukute. I was overstressed!Pole sana mkuu. Haya maisha yana sarakasi sana saa nyingine mwenye nguvu mpishe apite maamuzi yatafanywa na Mungu peke yake.
Kwani mama si,anaponya nchi au?Taarifa iliyotufikia hivi punde inasema kwamba Jonas Afumwisye meneja wa TRC aliyesimamishwa kazi kwa kupinga Tozo , AMEKAMATWA NA POLISI .
Wakili wa Meneja huyo Peter Kibatala , amedai kupigiwa simu na Mteja wake Ndugu Afumwisye na kuelezwa kwamba amefuatwa na Polisi nyumbani kwake ambao wametumwa kumkamata .
Chanzo : MwanaHalisi
Kama Supika wa Nchi kashindwa....huyo meneja itakuwa vipi?Meneja wa shirika la umma analalamikia tozo halafu unakuta hohehahe mtaani hana hata habari!
Watumishi wa umma kuleni tu kulingana na urefu wa kamba zenu huko ofisini wenyewe mkiwakosoa wanaita mmewatukana.
Meneja uza hata "kiberege" au piga mnada mataruma.
DCI ni Kingaiila polisi wa tanzania huwa ni wapumbavu grade A sasa unamkamata kwa kosa gani
mahakamani wakienda anawaaibisha ila hawajifunzi tu
Atanyoooka tuu ngoja afanyiwe harassment ndio akili imjie..Taarifa iliyotufikia hivi punde inasema kwamba Jonas Afumwisye meneja wa TRC aliyesimamishwa kazi kwa kupinga Tozo , AMEKAMATWA NA POLISI .
Wakili wa Meneja huyo Peter Kibatala , amedai kupigiwa simu na Mteja wake Ndugu Afumwisye na kuelezwa kwamba amefuatwa na Polisi nyumbani kwake ambao wametumwa kumkamata .
View attachment 2335762
Chanzo : MwanaHalisi
Nilikua najua mwisho wake ni kuswekwa ndani tu ili asipate watu wa kumpa akili, mshamfukuza kazi mnamuweka ndani ili iwejeila polisi wa tanzania huwa ni wapumbavu grade A sasa unamkamata kwa kosa gani
mahakamani wakienda anawaaibisha ila hawajifunzi tu
Pole sna mkuuKwa serikali hii ya chawasynthesis lazma muhuni atakomeshwa! Kwanza kavujisha barua aliotwangwa na boss. Hio situation ya hivyo ilinikutaga staki kukumbuka nilipigwa disclipinary comittee round 2 nikapangua accusations ila mwisho walitumia ubabe tu sababu VC alitaka nikomeshwe.
Sas Nani tuwape nnchi hi mnk kwa CDM hpana Bora magu. Angetawala tuTulikuwa tunasema tatizo sio Magufuli Bali CCM lakini watu wakawa wanamshambulia Magufuli.
Sasa hivi watu wanaokotwa kwenye viroba, watu wameanza kubambikiwa kesi, tozo zinaongezeka pia kesi za kubambikiwa labda Magufuli amefufuka