Ofisa wa TRC aliyefukuzwa kazi kwa kukosoa tozo akamatwa na Jeshi la Polisi akiwa nyumbani kwake

Ofisa wa TRC aliyefukuzwa kazi kwa kukosoa tozo akamatwa na Jeshi la Polisi akiwa nyumbani kwake

Kwa serikali hii ya chawasynthesis lazma muhuni atakomeshwa! Kwanza kavujisha barua aliotwangwa na boss. Hio situation ya hivyo ilinikutaga staki kukumbuka nilipigwa disclipinary comittee round 2 nikapangua accusations ila mwisho walitumia ubabe tu sababu VC alitaka nikomeshwe.
Pole sana mkuu. Haya maisha yana sarakasi sana saa nyingine mwenye nguvu mpishe apite maamuzi yatafanywa na Mungu peke yake.
 
Pole sana mkuu. Haya maisha yana sarakasi sana saa nyingine mwenye nguvu mpishe apite maamuzi yatafanywa na Mungu peke yake.
Asante mkuu usiombe hio situation ikukute. I was overstressed!
 
Taarifa iliyotufikia hivi punde inasema kwamba Jonas Afumwisye meneja wa TRC aliyesimamishwa kazi kwa kupinga Tozo , AMEKAMATWA NA POLISI .

Wakili wa Meneja huyo Peter Kibatala , amedai kupigiwa simu na Mteja wake Ndugu Afumwisye na kuelezwa kwamba amefuatwa na Polisi nyumbani kwake ambao wametumwa kumkamata .

Chanzo : MwanaHalisi
Kwani mama si,anaponya nchi au?
 
Wakituwekea sms ya ushahidi tutaona hayo matusi kweli au diss tu!
 
Meneja wa shirika la umma analalamikia tozo halafu unakuta hohehahe mtaani hana hata habari!

Watumishi wa umma kuleni tu kulingana na urefu wa kamba zenu huko ofisini wenyewe mkiwakosoa wanaita mmewatukana.

Meneja uza hata "kiberege" au piga mnada mataruma.
Kama Supika wa Nchi kashindwa....huyo meneja itakuwa vipi?
 
Si hii nchi rekebisha kauli yako sema watu wa hii nchi wanamatatizo nchi haiwezi kuongea .
Kingine kweli ni hiki hapa maisha yako ni yako usiwe na utetezi wowote .
Ukiona kimya ili mradi unapewa mshahara wako basi sasa huyu kawa kama ndugai bora ndugai anahela zake na alikuwa na vyeo viwili ubunge na uspika sasa huyu anajiamini na nini??
 
Taarifa iliyotufikia hivi punde inasema kwamba Jonas Afumwisye meneja wa TRC aliyesimamishwa kazi kwa kupinga Tozo , AMEKAMATWA NA POLISI .

Wakili wa Meneja huyo Peter Kibatala , amedai kupigiwa simu na Mteja wake Ndugu Afumwisye na kuelezwa kwamba amefuatwa na Polisi nyumbani kwake ambao wametumwa kumkamata .

View attachment 2335762

Chanzo : MwanaHalisi
Atanyoooka tuu ngoja afanyiwe harassment ndio akili imjie..
 
Kwa serikali hii ya chawasynthesis lazma muhuni atakomeshwa! Kwanza kavujisha barua aliotwangwa na boss. Hio situation ya hivyo ilinikutaga staki kukumbuka nilipigwa disclipinary comittee round 2 nikapangua accusations ila mwisho walitumia ubabe tu sababu VC alitaka nikomeshwe.
Pole sna mkuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tulikuwa tunasema tatizo sio Magufuli Bali CCM lakini watu wakawa wanamshambulia Magufuli.
Sasa hivi watu wanaokotwa kwenye viroba, watu wameanza kubambikiwa kesi, tozo zinaongezeka pia kesi za kubambikiwa labda Magufuli amefufuka
Sas Nani tuwape nnchi hi mnk kwa CDM hpana Bora magu. Angetawala tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom