Ofisi imemchagua mke wa rafiki yangu aende training Marekani mwaka mmoja. Jamaa yangu yupo njia panda

Kwa mke wa la 7b inawezekana, lakini sio daktari
Na huyo mke wa darasa la saba siku mambo yake yakimnyookea ndiyo utajua tabia yake halisi, umasikini unafanya wanawake wengi kua pretenders kwenye ndoa/mahusiano!!
 
Amwache aende kwa baraka zake zote, halafu atafute beki tatu bomba angaalie watoto wakati akiwa kazi, au kama ana mdogo wake aje haraka sana
Ndio muda wa kuchakata mbususu huo,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo km angekua mkeo, bas ungemkatalia asiende huko USA?
 
Unasumbuliwa na wivuu, Wee lol
 
Na huyo mke wa darasa la saba siku mambo yake yakimnyookea ndiyo utajua tabia yake halisi, umasikini unafanya wanawake wengi kua pretenders kwenye ndoa/mahusiano!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aende Tuu Kiroho sayona Maisha ndio haya asee!!
 
Kwanini unaanza kuhisi atamkimbia jamaa yako? ukiwazia mabaya yatakuja mabaya, amruhusu aende na mambo yatakuwa swa kabisa.
 
Haya mambo ya kuoa mwanamke ambae huamiani naye ni mabaya sana. Alipokuwa anaoa hakujua mwanamke msomi tena dr haya mambo ni kawaida?
 
usipo mpa ruhusa wewe unadhani atakuelewa?hakuna mtu asiye na ndoto za kwenda amerika.chukulia ingekuwa upande wako alafu akukatalie ungekubali?
 
Me naona hakuna shida yoyote katika yeye kwenda kujiendeleza huko nje, shida kubwa ni wanandoa wengi kuishi bila family vision, inayotengenezwa na wanandoa kwa ajili ya future yao.

Maaana sio kila fursa niyakuingia nayo hususani fursa ambazo ziko nje ya vision ya familia yenu, kama wanaishi bila vision aende tu, kumbuka Bwana asipo ulinda mji, wauulindao wafanya kazi bure.

Zingatia, ukianzisha familia wewe mwanaume, Weka Visison na Mission za familia yako itakayowezesha kutengeneza plan zako na daily to do list ya kila mwanafamilia, kwa mstakabali wa future yenu, kumbuka pasipo maono watu huacha kujizuia.

Ndoa ni taasisi hamuwezi ishi kama genda heka kwa kubahatisha lolote linalokuja sawa tu kisa linaleta hela, maisha ni zaidi ya hela na hatuishi ili tuitumikie hela bali hela zipo ili zitutumikie sisi.
 
Mwaka mzima akae na akina Johnny sins atoke hivihivi? kupigwa mbupu muhimu, mume ajipange tu kisaikolojia lakini asimzuie kwenda 🤭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…