Ofisi imemchagua mke wa rafiki yangu aende training Marekani mwaka mmoja. Jamaa yangu yupo njia panda

Ofisi imemchagua mke wa rafiki yangu aende training Marekani mwaka mmoja. Jamaa yangu yupo njia panda

Kwa mke wa la 7b inawezekana, lakini sio daktari
Na huyo mke wa darasa la saba siku mambo yake yakimnyookea ndiyo utajua tabia yake halisi, umasikini unafanya wanawake wengi kua pretenders kwenye ndoa/mahusiano!!
 
Amwache aende kwa baraka zake zote, halafu atafute beki tatu bomba angaalie watoto wakati akiwa kazi, au kama ana mdogo wake aje haraka sana
Ndio muda wa kuchakata mbususu huo,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Graduate medical doctor! Nashukuru malezi ya wazazi wake! Wengi mnaoa wanawake mashetani! Sasa kwenda marekani kuna guarantee gani ya kuadd value katika familia yangu? Kanikuta niko vizuri watoto wangu wako vuzuri! Nimeoa mke as my intimate company! Sasa out of no where eti unananinyanganya kwa kigezo cha scholarship na uongo ya kwamba akimaliza atafanywa bosi! You are kidding! Wanaume tumepewa nguvu tukaporwa!
Kwahiyo km angekua mkeo, bas ungemkatalia asiende huko USA?
 
The bottom line hapo hakuna ndoa! The moment anaondoka sio mke wako! Mimi namwambia "chagua kimoja". Family vs Scholarship! Akichoose Scholarship kwanza ntamfungia huko huko hakuna kurudi akapate mme na kazi na ninampoteza huko huko! Baada ya hapo nachukua kaslay queen kengine natia ndani!
Unasumbuliwa na wivuu, Wee lol
 
Na huyo mke wa darasa la saba siku mambo yake yakimnyookea ndiyo utajua tabia yake halisi, umasikini unafanya wanawake wengi kua pretenders kwenye ndoa/mahusiano!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aende Tuu Kiroho sayona Maisha ndio haya asee!!
 
Nilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili.

Mke wake anafanya kazi NGOs, na wememwambia inabidi aende training Marekani mwaka mzima, halafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge.

Jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe. First born yuko na Miaka 5, na anayemfatia yupo na miaka 2.

Ushauri wako ni upi? Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
Kwanini unaanza kuhisi atamkimbia jamaa yako? ukiwazia mabaya yatakuja mabaya, amruhusu aende na mambo yatakuwa swa kabisa.
 
Nilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili.

Mke wake anafanya kazi NGOs, na wememwambia inabidi aende training Marekani mwaka mzima, halafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge.

Jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe. First born yuko na Miaka 5, na anayemfatia yupo na miaka 2.

Ushauri wako ni upi? Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
Haya mambo ya kuoa mwanamke ambae huamiani naye ni mabaya sana. Alipokuwa anaoa hakujua mwanamke msomi tena dr haya mambo ni kawaida?
 
Hamna jinsi unaweza kumzuia! Pamoja na kwamba ni mke wako kwa upande mmoja; upande mwingine ni mama wa watoto! Akienda huko akakengeuka piga chini hasiwe mke wako lakini ataendelea kuwa mama wa watoto wako. Mimi nimeoa dakitari tena bado binti kabisa below 30! Kwa upande wangu siwezi kumruhusu hata yeye anajua hivyo!
usipo mpa ruhusa wewe unadhani atakuelewa?hakuna mtu asiye na ndoto za kwenda amerika.chukulia ingekuwa upande wako alafu akukatalie ungekubali?
 
Me naona hakuna shida yoyote katika yeye kwenda kujiendeleza huko nje, shida kubwa ni wanandoa wengi kuishi bila family vision, inayotengenezwa na wanandoa kwa ajili ya future yao.

Maaana sio kila fursa niyakuingia nayo hususani fursa ambazo ziko nje ya vision ya familia yenu, kama wanaishi bila vision aende tu, kumbuka Bwana asipo ulinda mji, wauulindao wafanya kazi bure.

Zingatia, ukianzisha familia wewe mwanaume, Weka Visison na Mission za familia yako itakayowezesha kutengeneza plan zako na daily to do list ya kila mwanafamilia, kwa mstakabali wa future yenu, kumbuka pasipo maono watu huacha kujizuia.

Ndoa ni taasisi hamuwezi ishi kama genda heka kwa kubahatisha lolote linalokuja sawa tu kisa linaleta hela, maisha ni zaidi ya hela na hatuishi ili tuitumikie hela bali hela zipo ili zitutumikie sisi.
 
Kama mwanamke ni mcha Mungu wala hakuna tatizo

Ila vinginevyo huko Marekani mwanamke atavyoviona huko anaweza kurudi akiwa brainwashed na vikorokoro vya feminism kujiona ana thamani kuzidi mmewe.

Kuhusu mahusiano long distance relationships huwa ni changamoto sana, ni ngumu sana kuwa single mwaka mzima, vishawishi ni vingi sana inabidi mtu awe na msimamo haswa.
Mwaka mzima akae na akina Johnny sins atoke hivihivi? kupigwa mbupu muhimu, mume ajipange tu kisaikolojia lakini asimzuie kwenda 🤭 images (3) (1).jpeg
 
Back
Top Bottom