Kuna mwanachadema humu alisema wazi ujio wa Lissu Mbeya kutalipuka.
Mnachoma moto wenyewe mpate kiki za kisiasa.
Hovyo sana nyumbu wa Ufipa.
Viofisi vya hovyo achome CCM uwii mbavu zangu mimi.wamenogewa na tangazo la Marekani Sasa wanataka watoe tamko Tena !!!
Jamani balozi za nje zijiongeze akili CIA take over to verify msije onekana wapumbavu kea ku feed serikali zenu ujinga.It is unfair to feed your government garbage!!!
Weledi wenu wa miaka ya 60 na 70 umepotelea wapi? serious mwaweza feed serikali zenu kuwa kile kiofisi Cha Chadema Arusha na hicho kiofisi Koko Cha Mbeya kimechomwa na CCM ? CIA you are destroying your credibility .You need to overhaul you agents in Tanzania They are not doing their homework
Ahsante kwa kutonitukana.ila ukweli utabaki kama ulivyo mwanachama.Mkuu ningekutukana ila nimekuwa kimya kwasababu upande ule wa msimbazi nakuheshimu na tunakutana sana kule[emoji46]
Walijua fomu za Lissu n Sugu ziko humo? [emoji3]Habari hii ni kwa mujibu wa tweet ya kiongozi wa CHADEMA, Parick Ole Sosopi aliyoitoa dakika chache zilizopita asubuhi ya hii.
View attachment 1541770
CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CHADEMA ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu.
Hii kiki imechuja sasa watafute nyingineCCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CHADEMA ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu.
Wewe usiwe mjinga kiasi hiki, kunavitu huwezi kukanusha hata kama unamashetani. Huwezi kuliona hili kuwa Ni wanna ccm wanaohujumu chadema? Hatakama wewe Ni mwanaccm, kwenini usijaribu kuitii dhamira yako? Najua dhamira yaka inakushudua ukweli, halafu unaizima kwa kutanguliza mapenzi yako kwa ccm. At least for once mjitahidi kuwa wakweli.CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CHADEMA ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu.
Yanachomwa mapazia ila nyaraka zinabaki...huu moto uliotumika hapa ni wa kisasa kabisa! Kama unaweza kuchagua vitu vya kuunguza. Mleta mada ebu toa ufafanuzi wa kueleweka wa nini hasa kilitokea!?Habari hii ni kwa mujibu wa tweet ya kiongozi wa CHADEMA, Parick Ole Sosopi aliyoitoa dakika chache zilizopita asubuhi ya hii.
View attachment 1541770
Kama ni hivyo kwanini hawafungwi au hawafunguliwi mashtaka ?CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CHADEMA ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu.
Waoga kweli kweliMagufuli punguza uoga , kama umejenga daraja si usubiri yaje yakupigie kampeni, pia hela za Tetemeko Bukoba.
Kwanini CHADEMA hawana uwezo wa kuchukua inchi???!! Kwasababu sio watanzania? Au ni kwasababu sio wasomi? Ama unajisemea hivi kwasababu mnajua hakutakuwa na uchunguzi huru na wahaki?? Tangazeni matokoea halali muone kitakachotokea.Chadema hawana uwezo wa kuchukua uongozi wa nchi maana hata maadili tu hawana. Wabunge waliowahi kufungwa ndiyo ofisi zao zinachomwa. Mbona hatujasikia kwa wakurya kule musoma ambako ndiyo wababe wanaofahamika???.
Usimfananishe Chalamila na takataka hebu tafuta DC wa MbeyaMh! Kutoka kwa DC Sabaya mpaka kwa RC Chalamila tena!