Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mwendazake Alishindwa kudhibiti Rushwa mpaka anakufaSasa hivi ni rushwa na pesa yako ndio itakufanya usiende gerezani.
Dpp na mahakama ndio imekuwa kitovu cha kuachia wenye pesa hata kama wanamakosa.
Hayati JPM alidhibiti kabisa hii hali ya rushwa hasa mahakamani na ofisi ya Dpp.
Dpp anafuta kila siku kesi za watu ambao ipo wazi kabisa wana makosa.
Mwaka mmoja tu, tunashuhudia mabadiliko makubwa. Huko polisi ndio hovyo kabis.
... mshenzi kweli yule; afe na akafe tena!Shetani dikteta mwendazake amewaambukiza roho Yake chafu,
Yaan we mmmmbwa unakereka DPP na mahakama zikiondoa kesi za hovyo,Raha yako wewe Quuuuu$#ma watu wafie jela
... li-Umoja Party hilo ndugu. Wanatumia picha ya dikteta kama nembo yao! Ha ha ha! Hatujasahau alivyovuruga taifa hili wasitake kuturudisha kule.Unaboa si kisenge watu humu JF wamekuchoka unaboa si kisenge
Hakuna anayeweza kudhibiti rushwa na ufisadi nchi hii sababu jamii yenyewe inaabudu mafisadi japo inapiga na kuua vibaka wa kuku na wakwapua simu. Itokee siku moja fisadi likamatwe na wananchi wenye hasira halafu livishwe tairi shingoni kisha limwagiwe petroli na kutiwa kiberiti mchana peupe ndiyo labda tutaanza kuona mabadiliko.Mwendazake Alishindwa kudhibiti Rushwa mpaka anakufa
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Mbona una matusi kama sio binadamu ndugu. Kwanini unakua na roho mbaya hivi.... mshenzi kweli yule; afe na akafe tena!
... wacha niteme nyongo; najisikia amani sana japo hamna tusi hapo.Mbona una matusi kama sio binadamu ndugu. Kwanini unakua na roho mbaya hivi.
Huna haja ya kuwa hivyo ndugu. Tumia tu maneno ya kawaida ujumbe unafika... wacha niteme nyongo; najisikia amani sana japo hamna tusi hapo.
Cheti feki na kufukuzwa kazi ni tatizo la Mtu kuwa na chuki zaidi hadi;umeharibu pale uliposema JPM alidhibiti kabisa hii hali ya rushwa. Kupata hicho kichekesho unabonyeza ngapi
Vipi kuhusu katiba mpya unaitaka aua unapiga mayowee tu?Sasa hivi ni rushwa na pesa yako ndio itakufanya usiende gerezani.
Dpp na mahakama ndio imekuwa kitovu cha kuachia wenye pesa hata kama wanamakosa.
Hayati JPM alidhibiti kabisa hii hali ya rushwa hasa mahakamani na ofisi ya Dpp.
Dpp anafuta kila siku kesi za watu ambao ipo wazi kabisa wana makosa.
Mwaka mmoja tu, tunashuhudia mabadiliko makubwa. Huko polisi ndio hovyo kabis.
Chatu mliyemfuga amewageuka🤣🤣Sasa hivi ni rushwa na pesa yako ndio itakufanya usiende gerezani.
Dpp na mahakama ndio imekuwa kitovu cha kuachia wenye pesa hata kama wanamakosa.
Hayati JPM alidhibiti kabisa hii hali ya rushwa hasa mahakamani na ofisi ya Dpp.
Dpp anafuta kila siku kesi za watu ambao ipo wazi kabisa wana makosa.
Mwaka mmoja tu, tunashuhudia mabadiliko makubwa. Huko polisi ndio hovyo kabis.
huo ndio ukweli hata kandi kuusikia. kama hauna strong leader hata uwe ba shria nzuri haziwezi fanya kazi. Tuambie wewe nani alidhibit haya mambo. viongozi wote si wapo alieondoka ni JPM, mbona hawadhibi hayo mamboumeharibu pale uliposema JPM alidhibiti kabisa hii hali ya rushwa. Kupata hicho kichekesho unabonyeza ngapi
Kesi za hovyo? Hapa tunazungumzia watu wasio na pesa mama.Shetani dikteta mwendazake amewaambukiza roho Yake chafu,
Yaan we mmmmbwa unakereka DPP na mahakama zikiondoa kesi za hovyo,Raha yako wewe Quuuuu$#ma watu wafie jela
Unashida ya kuolewa?Unaboa si kisenge watu humu JF wamekuchoka unaboa si kisenge