Ofisi ya Kata wanashirikiana na baba yangu mzazi kuninyima haki yangu ya mali

Kwanza Una uhakika gani kama huyo ni baba ako?[emoji1787]
 
1: Sheria inalazimisha mzazi agawe urithi kabla hajafa??
2: Kuna sheria inayompa haki mtoto kudai urithi kwa mzazi akiwa hai??
3: Mtoto mwenyewe 42 years??
 
1: Sheria inalazimisha mzazi agawe urithi kabla hajafa??
2: Kuna sheria inayompa haki mtoto kudai urithi kwa mzazi akiwa hai??
3: Mtoto mwenyewe 42 years??
Nilichoandika ndiyo kipo hivyo.
 
well said
 
Swali, jeje wewe babako wakati anajenga hizo nyumba ulichangia kiasi gani?
 
Hii ni kesi ya watoto dhidi ya mke wa marehemu. Wakati marehemu hayupo/amefariki. Si kesi wakati bado marehemu yuko hai.

Ningependa nipate yenye:
mtoto amemshitaki mzazi kwa kumnyima urithi wakati mzazi husika yuko hai.

Najua unaweza kupata ya mzazi kutokutimiza majukumu kwa mtoto, lakini si urithi wakati mzazi yupo.

Tafuta ulete au soma hoja ya mtoa mada vizuri.
 
Hakuna hiyo ya urithi akiwa hai.

Labda anachosema mleta uzi tusikiite tena urithi.
 
Mimi naendelea kusimama na babako, kwa kuwa wewe akili hauna, nenda hata mahakamani haitoshinda hiyo kesi
 
1: Sheria inalazimisha mzazi agawe urithi kabla hajafa??
2: Kuna sheria inayompa haki mtoto kudai urithi kwa mzazi akiwa hai??
3: Mtoto mwenyewe 42 years??
Leo kapunguza umri mara ya kwanza alikuja na miaka arobaini na saba. (47)
 
Leo kapunguza umri mara ya kwanza alikuja na miaka arobaini na saba. (47)

Mwache, hata afanye iwe miaka 40, kisheria na kijamii bado haina mantiki.
Na mbaya zaidi ni mkondo alioamua kuutumia, kila atakakofika wanamshangaa. Mwisho ataona binadamu woote siyo wema/wanaende kinyume na matarajio yake.

Labda:
1: Ajirudi na kuwa mwenye mwenendo mwema na baba
2: Apate mwanasaikolojia amtoe kwenye mindset aliyonayo.
 
1: Sheria inalazimisha mzazi agawe urithi kabla hajafa??
2: Kuna sheria inayompa haki mtoto kudai urithi kwa mzazi akiwa hai??
3: Mtoto mwenyewe 42 years??
Hakuna urithi unaogawiwa kwa lazima wakati mrithishaji yuko hai.
 
Wewe jamaa unashangaza Sana,
Unajiita mtoto wake! Really miaka 42 Bado mtoto?
Saivi umeshatoka kwenye utoto kwahiyo wewe sio mtoto wa huyo mzee maana umekaribia kulingana nae wote muwe wazee.
 
Wewe jamaa unashangaza Sana,
Unajiita mtoto wake! Really miaka 42 Bado mtoto?
Saivi umeshatoka kwenye utoto kwahiyo wewe sio mtoto wa huyo mzee maana umekaribia kulingana nae wote muwe wazee.
Huyu bwege natamani ningekuwa moderator nimpige ban, 42yrs wana wajukuu alafu yeye anajiita mtoto si bure huyu atakuwa ni yale na kabila maarufu kwa kukwea Minazi ndo wana utamaduni wa kusubiri saana urithi.
 
Matoto kama nyie ndo waga mnawazia kuwapoteza wazaz wenu mpate mali, pumbavu kabisa
Wanaume tuangalieni wanawake wa kuzaa nao
 
Kweli kuna watu walitakiwa wafe Na Magufuli wakawe misukule yake. Mleta mada mmojawapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…