Till when?available
Una akili kweli? Shule hupajui? Unalazimisha upewe mtu asichotaka kukupa?Jana ulisema nini ukafanya nini?
Hujui hata maana ya forums? Lengo langu halikua kutegemea Google kupata majibu ya maswali yangu lengo langu ni kutaka kujua kutoka kwako wewe ambae umewahi kutumia nilichouliza Ila kwa kua umeweka ngumu baki na unachokijua, sio habari ya uvivu kwani wewe ukitoa maelezo utapungukiwa nini?Tumia Google ni mwalimu tosha sana kwako acha uvivu acha kupenda kutafuniwa kila kitu