Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa nini wajibu wake?

Tardy

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
1,287
Reaction score
1,607
Nini majukumu ya kila siku ya Ofisi hii ya msajili wa vyama vya siasa ikiwa vyama havifanyi kazi za siasa Nchini.
Inakuwaje Mwenyekiti wa chama kimojawapo anatoa tamko shughuli za siasa hadi apende yeye.

Ofisi hii ikaungane na Rita kupunguza matumizi ya fedha.Msajili asiwe mteule wa Rais
 
Nina mashaka kama hata wao wenyewe wanajua, kama ilivyo kwa wazee wa PGo kwani wanayofanya katika kitekeleza majukumu Yao ya msingi haviendani na matakwa ya Sheria na katiba yetu, zaidi nikiitwacho maelekezo kutoka juu.
 
Funga haraka ofisi hii na uchafu unaoletwa nao
 
Wataandamana kwani uhai wa chama mambo yake yapo hapo🤔.
 
Msajili Yupo kimkakati Kulinda Maslahi ya CCM na Kuigandamiza Chadema kwa Kutunga Sheria kandamizi
 
Msajili Yupo kimkakati Kulinda Maslahi ya CCM na Kuigandamiza Chadema kwa Kutunga Sheria kandamizi
Kwa hiyo majukumu ya kila siku nikutafuta mbinu za kulinda chama tawala?
Ikiwa vyama vimekataa mwaliko wake nini hatma ya malezi mzazi na mtoto.
Kila mmoja ajijue? Nani amemkosea mwenzake
 
Wanakazi kipindi cha chaguzi tu, kwa mwaka mara moja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…