Mtu Mbadi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2024
- 403
- 457
Unasumbuliwa na nini mkuu ? Mungu atakujalia ombaNinahofu na afya yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasumbuliwa na nini mkuu ? Mungu atakujalia ombaNinahofu na afya yangu
Hello guys.Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Askari wa Uhamiaji kwa Vijana wa Kitanzania wenye sifa zifuatazo:
1. SIFA ZA MWOMBAJI
- Awe ni raia wa Tanzania;
- Awe hana ajira au hajawahi kuajiriwa na Taasisi yoyote Serikalini;
- Awe na Cheti cha Kuzaliwa;
- Awe na Kitambulisho cha Taifa au Namba ya Utambulisho iliyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA);
- Awe na siha njema ya mwili na akili;
- Awe hajawahi kutumia Dawa za kulevya;
- Asiwe na Kumbukumbu au Taarifa zozote za kuhusika katika masuala au matukio ya uhalifu au jinai;
- Asiwe na alama yoyote au michoro (Tatoo) katika mwili wake;
- Awe hajaoa au kuolewa wala kuwa na mtoto;
- Mwombaji mwenye Elimu ya Kidato cha Nne awe na umri kuanzia miaka 18 hadi miaka 22, Mwombaji mwenye Elimu ya Kidato cha Sita na Stashahada awe na umri kuanzia miaka 18 hadi miaka 25, na Mwombaji mwenye Elimu ya Shahada/Stashahada ya Juu awe na umri kuanzia miaka 18 hadi miaka 30;
- Awe tayari kufanya kazi za Idara ya Uhamiaji mahali popote Tanzania;
- Awe tayari kujigharimia katika hatua zote za ufuatiliaji na uendeshwaji wa zoezi la Ajira.
2. MAOMBI YATAKAYOPEWA KIPAUMBELE
Maombi yatakayopewa kipaumbele ni ya waombaji wenye taaluma ngazi ya Shahada/Stashahada ya Juu, Stashahada, na Astashahada kutoka katika Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali wenye fani zifuatazo:
- Mtaalamu wa Lugha za Kimataifa,
- Utawala,
- Sheria,
- Uhusiano,
- TEHAMA,
- Masijala,
- Ukatibu Mahsusi,
- Uhasibu,
- Ununuzi na Ugavi waliosajiliwa na Bodi,
- Takwimu,
- Uchumi,
- Umeme,
- Ufundi wa Magari,
- Ufundi wa AC,
- Cyber Security,
- Brass band, na
- Mpiga chapa (Printer).
3. NAMNA YA KUFANYA MAOMBI:
MAOMBI yote ya Ajira yatawasilishwa kupitia tovuti ya Idara ya Uhamiaji ambayo ni https://www.immigration.go.tz kuanzia tarehe 29 Novemba, 2024 na mwisho wa kufanya maombi ni tarehe 13 Disemba, 2024.
Wakati wa kufanya Maombi, Mwombaji anatakiwa kuambatisha (upload) kwenye mfumo wa Ajira nyaraka zifuatazo zilizo katika mfumo wa PDF (kila Nyaraka moja isizidi 300Kb):
i. Picha (passport size) ya hivi karibuni iliyo katika mfumo wa jpg/png isiyozidi 300Kb kwa ajili ya kuambatisha kwenye mfumo (upload);
ii. Barua ya maombi ya ajira iliyoandikwa kwa mkono;
iii. Barua ya Utambulisho toka Serikali ya Mtaa/Kijiji au Shehia; kwa walio Makambini JKT/JKU wawe na barua za Utambulisho kutoka kwa Mkuu wa Kambi;
iv. Cheti cha Kuzaliwa;
v. Awe na Kitambulisho cha Taifa (NIDA) au Namba ya NIDA kwa ajili ya kujisajili kwenye mfumo;
vi. Awe na Index namba za vyeti vya kufaulu Kidato cha Nne na Kidato cha Sita ambazo atajaza kwenye mfumo wa ajira;
vii. Vyeti vingine vya kuhitimu fani mbalimbali ngazi ya Astashahada, Stashahada, na Shahada/Stashahada ya Juu (kama anavyo na viwe vimehakikiwa katika vyuo husika);
viii. Vyeti vya usajili wa taaluma kwa fani zinazohitaji usajili wa Bodi;
ix. Wasifu wa Mwombaji (CV).
4. TAHADHARI
(i) Maombi yote yatapokelewa katika utaratibu ulioainishwa katika kifungu Namba 3 hapo juu na si vinginevyo;
(ii) Mwombaji yoyote atakayebainika kuwasilisha nyaraka za kughushi atachukuliwa hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kufikishwa Mahakamani;
(iii) Epuka Matapeli wanaoomba fedha au rushwa ya aina yoyote kwa ajili ya kusaidia kupata nafasi za Ajira.
Limetolewa na:
KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI,
MAKAO MAKUU YA UHAMIAJI - DODOMA.
Tarehe: 29 Novemba, 2024.
Kama Hujapata cheti cha Form four Unafanyaj hapoKamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Askari wa Uhamiaji kwa Vijana wa Kitanzania wenye sifa zifuatazo:

Hivi wanajuaje kama mtu ana mtotunaenda
Ninahisigi Nina ngoma Toka 2021Unasumbuliwa na nini mkuu ? Mungu atakujalia omba
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] Dah mkuu siukapimeNinahisigi Nina ngoma Toka 2021
Hello guys.
Hapo kwenye NO.1 (ii), je internship kwenye taasisi za serikali nayo itakuwa considered as ajira? au kazi zile za sensa, nazo zinaweza kuchukuliwa kama ajira?
Hawataki cheti, pale unaingiza namba yako ya mtihani. Cheti watakitaka siku ya usailiKama Hujapata cheti cha Form four Unafanyaj hapo
Tulifika uko nishitueWanaangalia kwenye "data base" maana wakiingiza jina lako system itawaonyesha kama umeoa, umefiwa n.k coz kila kitu kinarekodiwa. Maana ukipata mtoto Huwa ana sajiliwa pale kliniki na watu wa kliniki wanatuna data kwenye data base.
Umesoma ulichokiandika?Mie nimjaribu ku registered kupitia website yako ila kila niki login signing maelekezo yoyote. Ni kwangu tu au kuna mtu kapata changamoto kama yangu
Tulifika uko nishitue
Mbona ndo tupo Sasa hiziTulifika uko nishitue
AhsanteHapana
Ns kaka au nnHawataki cheti, pale unaingiza namba yako ya mtihani. Cheti watakitaka siku ya usaili
Index number mfano s2345/076Ns kaka au nn
Aisee Mpaka leo sijapata cheti Siwez nikazibashiri hizo index number zanguIndex number mfano s2345/076
Tafuta online Maktaba Tetea utazipataAisee Mpaka leo sijapata cheti Siwez nikazibashiri hizo index number zangu
Kam unatumia simu ingia chrome afu turn your phone into desktop mode utapona Kila kitu Kam hujaelewa nichek 0692179821Mie nimejaribu ku register kupitia website yako ila kila niki login sioni maelekezo yoyote. Ni kwangu tu au kuna mtu kapata changamoto kama yangu
Sasa SI unaangalia matokeo ya form 4 mtandaoni unatafuta shule Yako!Aisee Mpaka leo sijapata cheti Siwez nikazibashiri hizo index number zangu
Pale browser Yako unaset isome "desktop mode" badala ya "mobile mode"Hata me nikiingia naona hewa tu after registration