Ofisi ya uhamiaji watangaza nafasi mpya za kazi, November 2024

Ofisi ya uhamiaji watangaza nafasi mpya za kazi, November 2024

Mimi ni mdau wa jamii forum kutoka kiembe samaki unguja zanzibar nina ombi juu ya idara ya uhamiaji tanzania kuhusu ombi la kazi lililotolewa November 29,2024 nilikuwa naombi kuhusu vigezo vilivotolewa na idara iyo kama kigezo cha umri na kigezo cha elimu kwamba Kuna changamoto tulionayo Kuna baadhi ya waombaji washamaliza stashahada taaluma zao Lakini kutoka na muda wa kuchelewesha kutoka kwa vyeti vyao kutoka mavyuoni walivosoma watapelekea kukosa izo nafasi za kujiunga na jeshi la uhamiaji kwahiyo ushauri wangu waturuhusu idara ya uhamiaji tanzania kutumia kama utambulisho kutoka vyuoni ili utusaidie kufanya maombi mpaka muda wa kutolewa vyeti tutaambatanisha na kufikisha sehemu husika katika idara iyo.,ahsanteni sana jamii forum natumai mtanisaidia kufikisha haya maombi yangu
IMG_20241203_184440.jpg
 
Unavyo omba utazani uko ppeke yako.iyo ni competition inatumika kila njia kupunguza .afu kumbe ni mzenji kavue samaki uko wabaguzi nyie
Mimi ni mdau wa jamii forum kutoka kiembe samaki unguja zanzibar nina ombi juu ya idara ya uhamiaji tanzania kuhusu ombi la kazi lililotolewa November 29,2024 nilikuwa naombi kuhusu vigezo vilivotolewa na idara iyo kama kigezo cha umri na kigezo cha elimu kwamba Kuna changamoto tulionayo Kuna baadhi ya waombaji washamaliza stashahada taaluma zao Lakini kutoka na muda wa kuchelewesha kutoka kwa vyeti vyao kutoka mavyuoni walivosoma watapelekea kukosa izo nafasi za kujiunga na jeshi la uhamiaji kwahiyo ushauri wangu waturuhusu idara ya uhamiaji tanzania kutumia kama utambulisho kutoka vyuoni ili utusaidie kufanya maombi mpaka muda wa kutolewa vyeti tutaambatanisha na kufikisha sehemu husika katika idara iyo.,ahsanteni sana jamii forum natumai mtanisaidia kufikisha haya maombi yanguView attachment 3168200
 
inaonekana ulipo mtandao upo chini, ama aina ya simu unayotumia, ama browser unayotumia.
1. jaribu kubadili browser, tumia chrome
2. jaribu kutumia simu yenye uwezo kidogo, ama computer/uende internet cafe
3. jaribu kupata access nzuri ya mtandao.
 
Hzo kazi ni mpaka upitie mafunzo kama ya mgambo au jkt??? Au hata kama hujapitia unaomba tu
 
Hzo kazi ni mpaka upitie mafunzo kama ya mgambo au jkt??? Au hata kama hujapitia unaomba tu
Kigezo umri wako ukifika kule wanadai namba ya Nida ikisoma umri mkubwa above 30 unatemwa fasta system inakukataa umri ambao system inakubari ni 0-30 ndio mwisho yaan hata ukiweka kadi ya Nida ya mtoto wako wa Nursery mfumo unampokea wanawaajiri makinda only la mama yao
 
Back
Top Bottom