Ofisi ya uhamiaji watangaza nafasi mpya za kazi, November 2024

Ofisi ya uhamiaji watangaza nafasi mpya za kazi, November 2024

Wadau naomba kuuliza kwenye ku attach cheti cha chuo unaweka Transcript ya matokeo au Cheti cha chuo
 
Ngoja tuwatupie vijana wetu wajaribu hizi nafasi...
 
Kigezo umri wako ukifika kule wanadai namba ya Nida ikisoma umri mkubwa above 30 unatemwa fasta system inakukataa umri ambao system inakubari ni 0-30 ndio mwisho yaan hata ukiweka kadi ya Nida ya mtoto wako wa Nursery mfumo unampokea wanawaajiri makinda only la mama yao
Hadi kwenye mfumo wame set umri kulingana na Elimu Yako .. diploma kuanzia 18 Hadi 25, ukizidi hapo system inakataa, degree ni kuanzia 18 Hadi 30 ukizidi hapo inakataa.. tofauti na zamani kwamba ni wote bila kuangalia Elimu utakayoitumia kuanzia 18 Hadi 30
 
Washenzi
 
Mimi ni mdau wa jamii forum kutoka kiembe samaki unguja zanzibar nina ombi juu ya idara ya uhamiaji tanzania kuhusu ombi la kazi lililotolewa November 29,2024 nilikuwa naombi kuhusu vigezo vilivotolewa na idara iyo kama kigezo cha umri na kigezo cha elimu kwamba Kuna changamoto tulionayo Kuna baadhi ya waombaji washamaliza stashahada taaluma zao Lakini kutoka na muda wa kuchelewesha kutoka kwa vyeti vyao kutoka mavyuoni walivosoma watapelekea kukosa izo nafasi za kujiunga na jeshi la uhamiaji kwahiyo ushauri wangu waturuhusu idara ya uhamiaji tanzania kutumia kama utambulisho kutoka vyuoni ili utusaidie kufanya maombi mpaka muda wa kutolewa vyeti tutaambatanisha na kufikisha sehemu husika katika idara iyo.,ahsanteni sana jamii forum natumai mtanisaidia kufikisha haya maombi yanguView attachment 3168200
Kiembe samaki hamjambo
 
Screenshot_20241203-102702_1.jpg

Sijui lengo lao hasa ni nini? Sidhani kama lengo ni kupunguza wimbi la Ajira.. sbabu vijana wapo mtaani hawana Ajira muda mrefu ila vigezo wanavyo wapo ndani ya 30 hasa wa diploma .

Kuna wale JWTZ wamechezea mbavu wanakuja uhamiaji wanaambiwa umri
 
Kuhakiki kivip
Wewe hata kuhakiki hujui halafu unaomba kazi huko huoni unaenda kufanya madudu nyinyi ndio mmejazana kule mnachelewesha michakato na jamaa wanawataka nyinyi mabogus
 
Wewe hata kuhakiki hujui halafu unaomba kazi huko huoni unaenda kufanya madudu nyinyi ndio mmejazana kule mnachelewesha michakato na jamaa wanawataka nyinyi mabogus
😄😄😄 Sawa Bro mim Bogus ila nmeuliza tuu
 
😄😄😄 Sawa Bro mim Bogus ila nmeuliza tuu
Umeuliza nini hapo nyinyi ndio mmejazana kule ni mwendo wa Madudu mfululizo mnafanya kazi kwa kujivuta pumbavu, hao Mbuzi wa Bibi kizee wanabana shenzi zao
 
Back
Top Bottom