Ofisi ya uhamiaji watangaza nafasi mpya za kazi, November 2024

Hello guys.
Hapo kwenye NO.1 (ii), je internship kwenye taasisi za serikali nayo itakuwa considered as ajira? au kazi zile za sensa, nazo zinaweza kuchukuliwa kama ajira?
 
Kama Hujapata cheti cha Form four Unafanyaj hapo
 
Wanaangalia kwenye "data base" maana wakiingiza jina lako system itawaonyesha kama umeoa, umefiwa n.k coz kila kitu kinarekodiwa. Maana ukipata mtoto Huwa ana sajiliwa pale kliniki na watu wa kliniki wanatuna data kwenye data base.
Tulifika uko nishitue
 
Mie nimejaribu ku register kupitia website yako ila kila niki login sioni maelekezo yoyote. Ni kwangu tu au kuna mtu kapata changamoto kama yangu
Kam unatumia simu ingia chrome afu turn your phone into desktop mode utapona Kila kitu Kam hujaelewa nichek 0692179821
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…