Fidia ikiruhusiwa ndipo ubambikiaji kesi utapungua..haki lazima itendeke.
..fikiria ingekuwa ni wewe umewekwa mahabusu miaka 9 kwa tuhuma ambazo waliokukamata hawawezi kuzithibitisha.
..naamini wananchi wakianza kudai fidia wanaohusika na ukamataji na uchunguzi watakuwa makini zaidi ktk kazi zao.
Wengi sana wamepewa kesi za ujambazi wa kutumia Bunduki wakati hawajui hata kutumia gobole tuPale Gereza la Songwe zaidi ya asilimia 60 ya mahabusu wana kesi za mauaji, Katibu Mkuu Utumishi na Katibu Mkuu wizara ya katiba na sheria walifanya ziara ya kustukiza mwezi wa 5 mwaka huu..
Katika kufanya udadisi makatibu hao wakuu wakachukua mahabusu mmoja wakamuuliza ulifanya mauaji wapi? Akawajibu simjui niliye muuwa.. Nimetoka safari katika kuzurura nitafute sehemu ya kulala nilikamatwa na askari usiku.. Wakitaka chochote.. Matokeo yake nipo humu ndani miezi minne upelelezi bado....
Sasa fikiri ni wangapi wamebambikwa kesi?
Kisheria DPP ana nguvu za kufuta mashtaka ya jinai, bila kutoa maelezo yoyote.Ofisi ya DPP imegeuka kuwa ofisi ya wafuta mashtaka badala ya ofisi ya waendesha mashtaka. Haya madaraka mapya yakufuta mashtaka wameyatoa wapi?
Kwanini imeacha jukumu la msingi la kuanzishwa kwake? Kama wamebaini walikosea, hao waliokosea kifungua mashtaka wanasubiri nini kushtakiwa?
DPP nae ni binadamu ana mapungufu yake na pia ana mahitaji yake hii ni fursa mpya kwake kutengeneza kama wengine waliomtangulia kwenye msafara wa mamba na kenge nao pia wamoDipipi anatimiza majukumu yake vizuri ya kuendesha mashitaka yanayiendesheka.
Sasa wewe utaka kila shitaka liendeshwe tu wakati halina matairi.
Muache ayafute kabisa, aendelee na yale yaliyo sahihi.
Kuna wigo wa mamlaka ya kufuta mashtaka ambao umeelezwa na Katiba.Kisheria DPP ana nguvu za kufuta mashtaka ya jinai, bila kutoa maelezo yoyote.
Wigo upi?Kuna wigo wa mamlaka ya kufuta mashtaka ambao umeelezwa na Katiba.
Sio swala la kuamka na kufuta tu jinsi anavyojisikia.
Ukiona mpaka MAGAIDI na MATAPELI yanaachiwa huru unabaini DPP ameshachanganyikiwa!
Acheni chuki. Wakati wa chuki mliteseka sasa wanaachiwa mnateseka tena. Mna laana nyieKila aliyefungwa ni chuki? Ina maana hii nchi hakuna wahalifu?
Unaweza kuta Rizi moko ndiyo kakamatia hilo deal la kuwachomoa wezi jela, ndiyo maana unaona wanatoka wezi Mataita tu,Gerezani watabaki wezi wa kuku tu wa huko uswahilini!!Naamini labda DPP hakuelewa vyema maelekezo maana anaachia Kila mtu,
Yaani mpaka matapeli maarufu.
Africa Muhalifu ni Masikini, Tajiri Muhalifu tunamuona mjanja na ana akili kubwa!!Kila aliyefungwa ni chuki? Ina maana hii nchi hakuna wahalifu?
Kuna wigo wa mamlaka ya kufuta mashtaka ambao umeelezwa na Katiba.
Sio swala la kuamka na kufuta tu jinsi anavyojisikia.
Ukiona mpaka MAGAIDI na MATAPELI yanaachiwa huru unabaini DPP ameshachanganyikiwa!
ndio maana tunamshauri awafutie kesi wafungwa wote,tuanzs upya.Pale Gereza la Songwe zaidi ya asilimia 60 ya mahabusu wana kesi za mauaji, Katibu Mkuu Utumishi na Katibu Mkuu wizara ya katiba na sheria walifanya ziara ya kustukiza mwezi wa 5 mwaka huu..
Katika kufanya udadisi makatibu hao wakuu wakachukua mahabusu mmoja wakamuuliza ulifanya mauaji wapi? Akawajibu simjui niliye muuwa.. Nimetoka safari katika kuzurura nitafute sehemu ya kulala nilikamatwa na askari usiku.. Wakitaka chochote.. Matokeo yake nipo humu ndani miezi minne upelelezi bado....
Sasa fikiri ni wangapi wamebambikwa kesi?
Pale Gereza la Songwe zaidi ya asilimia 60 ya mahabusu wana kesi za mauaji, Katibu Mkuu Utumishi na Katibu Mkuu wizara ya katiba na sheria walifanya ziara ya kustukiza mwezi wa 5 mwaka huu..
Katika kufanya udadisi makatibu hao wakuu wakachukua mahabusu mmoja wakamuuliza ulifanya mauaji wapi? Akawajibu simjui niliye muuwa.. Nimetoka safari katika kuzurura nitafute sehemu ya kulala nilikamatwa na askari usiku.. Wakitaka chochote.. Matokeo yake nipo humu ndani miezi minne upelelezi bado....
Sasa fikiri ni wangapi wamebambikwa kesi?
Mwongo huyo!Pale Gereza la Songwe zaidi ya asilimia 60 ya mahabusu wana kesi za mauaji, Katibu Mkuu Utumishi na Katibu Mkuu wizara ya katiba na sheria walifanya ziara ya kustukiza mwezi wa 5 mwaka huu..
Katika kufanya udadisi makatibu hao wakuu wakachukua mahabusu mmoja wakamuuliza ulifanya mauaji wapi? Akawajibu simjui niliye muuwa.. Nimetoka safari katika kuzurura nitafute sehemu ya kulala nilikamatwa na askari usiku.. Wakitaka chochote.. Matokeo yake nipo humu ndani miezi minne upelelezi bado....
Sasa fikiri ni wangapi wamebambikwa kesi?
Wabakaji gani?Vipi kuachia WABAKAJI?